Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Hilo pingamizi halina mashiko kisheria. Document ya msingi kabisa ni HUKUMU tu.
1. Kosa lililomo kwenye judgement ni kuisababishia serikali hasara. Siyo kukwepa kodi.
2. Hakupata adhabu na mahakama ya kwenda jela miezi 6 au zaidi.

Note well: Kwa hukumu hii Deo Mwanyika hana kizuizi kikatiba na kisheria kugombea cheo cha umma.
Kisheria pingamizi hilo halina miguu. Litaanguka mwanguko wa mende.

By Adv....
 
Huyu jamaa hakutiwa hatiani na kufungwa , huyu jamaa ( deo) aliingia makubaliano na dpp ( plear bargain) then akaachiwa kutokana na makubaliano hayo .
Sheria inataka mtu ashtakiwe atiwe hatiani na ahukumiwe kifungo cha zaidi ya miezi 6 . Hilo pingamizi litatupiliwa mbali . Any way Mimi sio mwanasheria Ila nimeichukulia hiyo ishu hivyo so I am ready to be corrected
 
Hilo pingamizi halina mashiko kisheria. Document ya msingi kabisa ni HUKUMU tu. Kosa lililomo kwenye judgement ni kuisababishia serikali hasara. Siyo kukwepa kodi. Kwa hukumu hii Deo Mwanyika hana kizuizi kikatiba na kisheria kugombea cheo cha umma.
Kisheria pingamizi hilo halina miguu. Litaanguka mwanguko wa mende.
By Adv....
Yani kama wewe ni wakili basi hujawahi kupata mteja hata mmoja, mtu alihukumiwa na mahakama na akapigwa faini au kwenda jela wewe unasema hakuna hukumu iliyotolewa? Ila umejiita Advo
 
Amehukumiwa 2019, kanuni hazizungumzii kutenda makosa bali kutiwa hatiani.

Yeye katiwa hatiani 2019
Okay..sijui Sheria inasemaje but nashangaa why aliteuliwa na kwenye fomu inadaiwa kakiri mwenyewe...labda kuna loophole mahali..let's wait and see.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom