Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ilala hapatoshi huku Clinton (NCCR-MAGEUZI) kule Zungu (CCM)

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Jimbo la Ilala linatajwa kuvamiwa na mwanasiasa Mpya na Kijana mwenye umri wa miaka 27 kutokea NCCR MAGEUZI. Nicolas Jovin Clinton ambaye pia ni Mwenyekiti wa KITENGO cha Vijana NCCR-MAGEUZI Taifa, amepitishwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi kugombea Ubunge Jimbo la Ilala hivyo anapambana na mkongwe kwenye Siasa za Jimbo hilo Idd Azan Zungu ambaye amekuwa Mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2005.

Mwanasiasa huyo mchanga na Kijana katika Jimbo hilo anaonekana kuendelea kuwa kitisho kwa Zungu hasa baada ya CCM kumrudisha Zungu na kumuacha mwanamama Sophia Mjema katika Jimbo hilo. Nicolas Jovin Clinton anatajwa kutoa ushindani makali katika uchaguzi huu na ni mara baada ya kuendelea kuwa gumzo miongoni mwa wananchi wa jimbo hilo kwa sababu ya ujana na upya wake katika siasa za Jimbo hilo.

Sasa Zungu kapata mtu sahihi this time, inasemekana kawatisha Sophia Mjema na Mrisho Gambo ambao walikuwa wagombee Jimbo la Ilala.

Zungu.PNG

Clinton.PNG
 
View attachment 1548907

View attachment 1548908
Piga kelele kwa Bill Clinton..!
 
Back
Top Bottom