Ubunge jimbo la Arusha mjini wagombaniwa kama mpira wa kona

Arusha wanajielewa sana na pia Elimu imesaidia sio Dodoma na Pwani bora Lindi wamebadilika...
 
Labda Arusha nyingine, sie hata tukiwekewa jiwe tutalichagua kuliko Ccm , watasubiri sana
Duh kwan jamaa wamekufanyien nn mpk muwe na hasira nao hivyo?pale dsm pamoja na kadhia wanazopewa ikiwemo bomoa bomoa na bd kura wanawapa tu,kule kagera wametukanwa na kura watatoa,aisee chuga salute!!
 
Kwa mambo yanayoendelea Arusha mjini kwa sasa ya barabara huduma za afya
Maji
Mikopo ya kina mama sirikali za mitaa
Viongozi ngazi za chini wasio na majibambo... Maana nyuma ilikuwa kusainiwa hata barua ya udhamini hela
Muhuri wa chochote hela NOWDAYS NI BURE

viongoz wa mitaa kuwa more friendly kwa wananchi

CCM HAWANA CHANCE ARUSHA MJINI
 
Back
Top Bottom