Ubunge jimbo la Arusha mjini wagombaniwa kama mpira wa kona

Akigombea Gambo, tutamshawishi Lema aende kuongeza nguvu kwa Rais, Vijana wa A Town tutamkimbiza mwanzo mwisho
 
Arusha mjini nashauri ccm wasiweke mgombea ubunge 2020,
Jamaa wanampenda sana Lema , nilikaa Arusha kipindi huyo jamaa alivyokuwa lockup kila ijumaa kuna jamaa kaloleni walikuwa wanachangishana Fedha kwenda kumuona jamaa ndani kila jumamosi yaani walikuwa wanakisanya zaidi ya milioni wanamnunulia mazaga na nyingine walikuwa wanampelekea
 
Inasemekana harakati za kulitwaa jimbo la Arusha mjini zimeanza na sasa kikwazo si mbunge mtetezi mh Lema, bali ni wanaccm wenyewe.

Inasemekana diwani mmoja kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CCM hapo A town anatarajiwa kugombea lakini baadhi ya viongozi wa chama mkoa wameanza kumfanyia figisu na usumbufu wa hapa na pale.

Inasemekana kuna kigogo anayelinyemelea jimbo hilo na angependa apite bila kupingwa ili avaane na Lema lakini wanaccm wa Arusha wameapa hilo halitawezekana na demokrasia lazima ifuate mkondo wake.

Ahsante!
Ni vizuri viongozi wa vyama na serikali wakajikita kuona ni namna gani watawaletea wananchi maendeleo, kwa kuwa mh. raisi ameshatoa msimamo wake kwamba sasa ni muda wa kufanya kazi tu.
 
Ndio tena magufoolish!!
Wewe upo sawa?
Nenda katibiwe lumumba kwa polipoli...
Au umepanic?
yani kama hata kama hujui kwamba wewe ndo umepanic basi kuna hatua nyingi kidogo za kukuweka sawa.
 
Na sio Arusha tu sehemu nyingi wananchi wameshangamua kuwa kuna haja ya kuwa na serikali mbadala na hiyo ni pamoja na kuwachagua wabunge na madiwani wengi wa upinzani pamoja na rais. Hela ya takrima hakuna tena!!!!
 
Inasemekana harakati za kulitwaa jimbo la Arusha mjini zimeanza na sasa kikwazo si mbunge mtetezi mh Lema, bali ni wanaccm wenyewe.

Inasemekana diwani mmoja kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CCM hapo A town anatarajiwa kugombea lakini baadhi ya viongozi wa chama mkoa wameanza kumfanyia figisu na usumbufu wa hapa na pale.

Inasemekana kuna kigogo anayelinyemelea jimbo hilo na angependa apite bila kupingwa ili avaane na Lema lakini wanaccm wa Arusha wameapa hilo halitawezekana na demokrasia lazima ifuate mkondo wake.

Ahsante!
yule aliyekutwa na id za usalama naona jana kawa huru, hii nchi bana, wakati akina lijuakali chezea mvua na kuhamishwa gereza juu, daah
 
Inasemekana harakati za kulitwaa jimbo la Arusha mjini zimeanza na sasa kikwazo si mbunge mtetezi mh Lema, bali ni wanaccm wenyewe.

Inasemekana diwani mmoja kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CCM hapo A town anatarajiwa kugombea lakini baadhi ya viongozi wa chama mkoa wameanza kumfanyia figisu na usumbufu wa hapa na pale.

Inasemekana kuna kigogo anayelinyemelea jimbo hilo na angependa apite bila kupingwa ili avaane na Lema lakini wanaccm wa Arusha wameapa hilo halitawezekana na demokrasia lazima ifuate mkondo wake.

Ahsante!

Martini George

Umeamua kutupa jiwe gizani?
 
Sio kipindi iki cha Magufuli. Hakuna cha kupita kwa kutumia rushwa ni wale wa "hapa kazi tu" ndio wataopata nafasi!
 
Back
Top Bottom