Ubunge jimbo la Arusha mjini wagombaniwa kama mpira wa kona

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,693
2,000
Inasemekana harakati za kulitwaa jimbo la Arusha mjini zimeanza na sasa kikwazo si mbunge mtetezi mh Lema, bali ni wana CCM wenyewe.

Inasemekana diwani mmoja kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CCM hapo A town anatarajiwa kugombea lakini baadhi ya viongozi wa chama mkoa wameanza kumfanyia figisu na usumbufu wa hapa na pale.

Inasemekana kuna kigogo anayelinyemelea jimbo hilo na angependa apite bila kupingwa ili avaane na Lema lakini wana CCM wa Arusha wameapa hilo halitawezekana na demokrasia lazima ifuate mkondo wake.

Ahsante!
 
Nanyaro Ephata

Verified Member
Jan 22, 2011
1,162
2,000
Hili ni tangopori
Ccm ina diwani mmoja tu na ni mtu mzima sio kijana
Ccm ilishakufa siku nyingi hapa Arusha

Inasemekana harakati za kulitwaa jimbo la Arusha mjini zimeanza na sasa kikwazo si mbunge mtetezi mh Lema, bali ni wanaccm wenyewe.

Inasemekana diwani mmoja kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CCM hapo A town anatarajiwa kugombea lakini baadhi ya viongozi wa chama mkoa wameanza kumfanyia figisu na usumbufu wa hapa na pale.

Inasemekana kuna kigogo anayelinyemelea jimbo hilo na angependa apite bila kupingwa ili avaane na Lema lakini wanaccm wa Arusha wameapa hilo halitawezekana na demokrasia lazima ifuate mkondo wake.

Ahsante!
 
Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
638
1,000

Ccm ina diwani mmoja tu kwenye jimbo la Arusha mjini je huyo diwani unayemsema atakuwa na ubavu gani wa kupambana na mgombea wa chadema?
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,819
2,000
Inasemekana harakati za kulitwaa jimbo la Arusha mjini zimeanza na sasa kikwazo si mbunge mtetezi mh Lema, bali ni wanaccm wenyewe.

Inasemekana diwani mmoja kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CCM hapo A town anatarajiwa kugombea lakini baadhi ya viongozi wa chama mkoa wameanza kumfanyia figisu na usumbufu wa hapa na pale.

Inasemekana kuna kigogo anayelinyemelea jimbo hilo na angependa apite bila kupingwa ili avaane na Lema lakini wanaccm wa Arusha wameapa hilo halitawezekana na demokrasia lazima ifuate mkondo wake.

Ahsante!
Huyu wa uvccm ndo yule kaachwa jana huru au??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom