Uchaguzi 2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,430
Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.

Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza.

Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius Nyerere!

Maendeleo hayana vyama!
 
Wanajua mbereko ya polisi itawabeba hawajui kama huu ni uchaguzi mkuu kila mmoja anapambania hali yake
 
Hapo naona anaefaa kuwa Mbunge Ni Bashite tu hao wengine Ni Bora wangeendelea na shughuli zao tu za kawaida.

#Not everything is for everyone
 
Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu.

Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza.

Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius Nyerere!

Maendeleo hayana vyama!
Huyi Makongoro Nyerere sio yule aliyetoka ccm na kwenda chadema?
Km ni huyo mbona alishatangulia mbele za haki kwa Mungu baba
 
Ccm wameshaona kugombea ni uchochoro kwa vile taasisi zote ziko chini yenu. Ipo siku na saa isiyojulikana mtalia na kusaga meno
Acha wivu wewe. Kwani kuna mtu kakuzuia usigombee? Hadi CHAUMMA kinatoa fomu, kachukue ugombee
 
Back
Top Bottom