Uboreshaji daftari la wapiga kura kuendelea April 17, 2020 hadi sasa kuna zaidi ya Wapiga kura milioni 31 walioandikishwa.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,737
141,604
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi NEC amesema uboreshaji wa daftari la wapiga kura utaendelea tena 17/04/2020.

Mwenyekiti huyo amesema hadi sasa zaidi ya wapiga kura milioni 31 wameshaandikishwa kwenye daftari.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Mikoa mingapi bado?

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Milioni 31 awamu ya kwanza, hope awamu ya ili mil 15 jumla milioni 40 ina maana watanzania walio chini ya miaka 18 na ambao hawatapata nafasi ya kujiandikisha ni milioni 20, kama takwim alizotoa jpm hivi karibuni kuwa tumefikia karimu m 61 na za kweli
 
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi NEC amesema uboreshaji wa daftari la wapiga kura utaendelea tena 17/04/2020.

Mwenyekiti huyo amesema hadi sasa zaidi ya wapiga kura milioni 31 wameshaandikishwa kwenye daftari.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!

MKuu tuletee ushahidi wa VIDEO.
 
Duuh hatari sana..yaani ndani ya mkaka minne wapiga kura wameongezeka zaidi ya nusu aiseee.Sasa kwanini tupoteze pesa jmn
 
Jiandikisheni jipigieni Kura na jitangazieni Ushindi mnono wa 99.9% ..
 
Back
Top Bottom