Ubora wa walimu wetu

Duruduru

Member
Aug 6, 2019
28
10
Kumekuwa na mjadala ya kwamba walimu wanaomaliza ngazi ya stashahada ni mahiri zaidi kuliko wale wanaomaliza ngazi ya digrii, binafsi nimejaribu kujiuliza baadhi ya maswali tafakuri lakini hadi sasa sijapata ukweli juu ya jambo hili.
Maswali yenyewe ni kama ifuatavyo;
1. Ni hatua gani walimu wanaojiunga na mafunzo ya stashahada na shahada wanapitia?
2. Ni kitu gani kinafanyika zaidi ya ufundishaji wa madarasani kwa upande wa wanafunzi wa vyuo vikuu na wale wa vyuo vya ualimu?
3. Mchakato wa ufundishaji madarasni pamoja na tathmini unafanyikaje kwa upande wa ngazi zote za elimu?
Mitaala inayotumika kuandaa walimu hawa ni wapi inatofautiana na wapi inakut
 
1. Ni hatua gani walimu wanaojiunga na mafunzo ya stashahada na shahada wanapitia?

Hatua ya kwanza astashahada ni sawa na wanafunzi wa primary au secondary kwanini mitihani yao inatungwa na NECTA vyeti vyao vinatolewa na NECTA

2. Ni kitu gani kinafanyika zaidi ya ufundishaji wa madarasani kwa upande wa wanafunzi wa vyuo

Vyuo vya uwalimu kuna kupiga deki, kumwagia bustani, kulisha ng'ombe, kuchomekea, nadhani hata fimbo wanachapa😀😀
Chuo kikuu huo ujinga haupo

3. Mchakato wa ufundishaji madarasni pamoja na tathmini unafanyikaje kwa upande wa ngazi zote za elimu?

Mwalimu wa degree anasoma kuna mfundisha mwalimu diploma unaona hapo sasa inakuwaje mwanafunzi mazidi mwalimu au kuchomekea 😀😀😀

Nikung'ate sikio hakuna walimu wanaopenda vitoto vya shule kama hawa wa diploma wewe fuatulia ukisikaia kisi ya mwalimu kampa mimba mwanafunzi au nini kimetokea ukifuatilia ni walimu wa diploma

Alisikia mlevi mmoja akisema
 
Ualimu ni kama kuwa dreva daktari au fani nyingine jinsi unavyofanya kwa bidii na kwa muda mrefu kwenye level yako ndio unavyozidi kuwa bora wala hakuna sana maswala ya nani ni bora zaidi kati ya degree na diploma hawa wote ni bora kutoka na bidii yao katika kusaka maarifa
 
walimu wa dip waliopikwa vizuri kiukweli wapo poa sana, degree wengi urembo mwingi. ila nawashauri walimu wenye dip wajiendeleze kupunguza fyoko fyoko kama mlevi mmoja hapo juu!
 
Ahsanteni sana kwa mujadala mzuri wa namna mlivyoangalia ubora wa hawa walimu wa ngazi ya stashahada na shahada, ni kweli kabisa ya kuwa uzoefu unachangia kwa kiasi kikubwa mtu kuwa mahiri maana anatenda muda wote katika eneo moja, binafsi nilitaka kujua ya hawa watu kuwa na uzoefu ni yupi anatoka chuoni akiwa na maarifa, ujuzi na uelekeo mpana kabla ya kuanza mchakato wa kupata uzoefu-experience
 
1. Ni hatua gani walimu wanaojiunga na mafunzo ya stashahada na shahada wanapitia?

Hatua ya kwanza astashahada ni sawa na wanafunzi wa primary au secondary kwanini mitihani yao inatungwa na NECTA vyeti vyao vinatolewa na NECTA

2. Ni kitu gani kinafanyika zaidi ya ufundishaji wa madarasani kwa upande wa wanafunzi wa vyuo

Vyuo vya uwalimu kuna kupiga deki, kumwagia bustani, kulisha ng'ombe, kuchomekea, nadhani hata fimbo wanachapa😀😀
Chuo kikuu huo ujinga haupo

3. Mchakato wa ufundishaji madarasni pamoja na tathmini unafanyikaje kwa upande wa ngazi zote za elimu?

Mwalimu wa degree anasoma kuna mfundisha mwalimu diploma unaona hapo sasa inakuwaje mwanafunzi mazidi mwalimu au kuchomekea 😀😀😀

Nikung'ate sikio hakuna walimu wanaopenda vitoto vya shule kama hawa wa diploma wewe fuatulia ukisikaia kisi ya mwalimu kampa mimba mwanafunzi au nini kimetokea ukifuatilia ni walimu wa diploma

Alisikia mlevi mmoja akisema
[/QU
Kwa maneno
 
Kwa experience, ni kweli kabisa waalim wa diploma ni mahir kuliko degree (ingawa sio wote). Kwasababu hata kwa sasa taasisi nying za binafs za elimu znapendlelea waalim wa diploma, niliwahi kumwuliza mkuu mmoja wa shule akasema tatz kubwa la waalimu wa digrii ni malezi, wanaamin diploma wana malez bora zaidi ya kiuhalimu.
 
Kwenye kua deep tusidanganyane degree ina balaa me nasoma economics kuna walim tunachanganyika nao wana opt vitu vichache sana mfano econometrics nayo semester ya pili,

Tatizo walim wa diploma wanapenda kujitutumua nisawa na kaka na dogo mliefuatana ugomvi hauishi, wasingekua wanakuja degree kujiongez bas
 
Kwa experience, ni kweli kabisa waalim wa diploma ni mahir kuliko degree (ingawa sio wote). Kwasababu hata kwa sasa taasisi nying za binafs za elimu znapendlelea waalim wa diploma, niliwahi kumwuliza mkuu mmoja wa shule akasema tatz kubwa la waalimu wa digrii ni malezi, wanaamin diploma wana malez bora zaidi ya kiuhalimu.
Kama ni malez nakubal ila sio kua deep kwenye knowladge
 
Back
Top Bottom