Ubora wa Ving'amuzi !

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
323
105
Polen na Mishe za wiki wanaJF,
Nahitaji msaada wa uzoefu kuhusu Ving'amuzi vya Zuku,Star times,Easy Tv na Agape!! Kati ya hivi ni kipi chenye channel nzuri zenye uwiano mzuri kama News,burudani,michezo n.k ,mwonekano wake, yaani uimara wa signals (Signal strength),Ubora wake (Value for money)!!!
Please,kwa mwenye ufaham anisaidie!!
 
Back
Top Bottom