ubora wa used tairi..

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
107
habari wadau,
naomba kujuzwa juu ya ununuzi wa tairi zilizotumika,
ni vitu gan unatakiwa kuzingatia unapotaka kununua tairi used kama saizi 13, kwa gari ndogo,
aidha, nmeona used tairi linauzwa kwa 50,000 nkiliangalia km jipya, la mwaka 2002, ila nahofia tokana cjajua vigezo gan vya kuzingatia kabla kununua.

naomba maoni.
 
Katika vitu ambavyo hupaswi kuvifanyia mzaha kwenye gari basi ni tairi na break pads. Nakushauri usinunue tairi used, hata hizo mpya angalia ilizalishwa mwaka gani. Used ni kimeo zaidi
 
Mpya 80-90,..used had 40 ,kuna mwana kkoo kule karib na club ya yanga. Hua ananisaidia sana ninapokwama
 
Sku moja niliona aibu sana. Nilinunua used 4 zote nikafunga, bas nikawa nikiendesha naona kama gari inavuta stering upande, inantoa barabaran nikajua jamaa hawakufunga vzuri labda hawakubalance. Nikaenda kinondoni kufanya wheel alignment, ....jamaa kabla hajafanya chochote akaingiza mkono kwenye madguard kama anakagua kashata za tairi. Alipomaliza tairi zote akasema tairi zako zote zimeisha izo badili tairi gari haina tatzo.
 
Mjini shule
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom