Ubora wa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani wa Bongo Records

P Funk mchawi wa bongofleva. Sema mwenye track ya GeezMabovu kioo cha jamii featuring Nakaaya Sumari, Fid Q na Jay Mo aitupie humu. Naitafuta sana.
 
Huwezi itaja Bongo Records bila hawa watu ..

Profesa Ludigo, Bizman
Please ludigo hivi nani kakutuma"😃,hlf ludigo alikua mchizi flan ambae hata ukikutana nae njiani ukiambiwa huyu ndio huwezi kuamini kwa kipindi kile alivyokua anavuma
 
Moja ya midundo mikali ya muda wote toka kwa P ni
1 Nini mnataka
2 Mzee wa busara
3 Kisa demu
4 Mtazamo
5 Hawatuwezi
6 Wanok nok
Timeless hits
 
Ubarikiwe sanaa ulie leta uzi huu, nimedownload karibu kila kitu kilicho tumwa, p.funky ataishi umri mrefu sanaa
 
Mkuu zacha asante sana kwa huduma yako. Naomba ngoma za East Coast Team ya GK zote kama unazo huwa nasikiliza youtube ila quality yake mbaya.

Fanya mpango nikurushie muamala mpesa (seriously) maana hii ni zaidi ya service kwa sisi waraibu wa bongo fleva. Viva Majani The Godfather of BF
 
View attachment 1190466

Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.

Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga muziki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana musiki kwa ujumla.

Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!

Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.

Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!

Enjoy!

Majani The Godfather haina ubishi. Asante kwa uzi nimepata tracks nyingi sana kali
 
kuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapa

Hii ngoma inaitwa SAFARI NJEMA.
Yupo Jaymoe, Complex RIP na Dudubaya (sio hili bwege la siku hizi linajiita konki nini sijui). Ni moja kati ya ngoma nilikuwa nazikubali sana ila sikujua pa kuipata, majuzi nimeipata rasmi.... bonge moja la ngoma.
 
aisee naiomba hiyo ngoma mkuu...nitumie pls!
 
Hii ngoma inaitwa SAFARI NJEMA.
Yupo Jaymoe, Complex RIP na Dudubaya (sio hili bwege la siku hizi linajiita konki nini sijui). Ni moja kati ya ngoma nilikuwa nazikubali sana ila sikujua pa kuipata, majuzi nimeipata rasmi.... bonge moja la ngoma.
samahani uyu Complex namsikia sana kama unapicha yake tafadhali tupia ikiwezekana hata ya Vivian kama ipo
 
samahani uyu Complex namsikia sana kama unapicha yake tafadhali tupia ikiwezekana hata ya Vivian kama ipo
complex1bc.jpg
 
Similar Discussions

42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom