Zacha tupia ngoma ya mapacha feat ngwair na nuruel linaitwa nipe jibu, ni hip-hop kali sana ile.Bonge moja ya ngoma halafu jamaa alikuwa na kipaji ila alitoa ngoma moja tu
Zacha tupia ngoma ya mapacha feat ngwair na nuruel linaitwa nipe jibu, ni hip-hop kali sana ile.Bonge moja ya ngoma halafu jamaa alikuwa na kipaji ila alitoa ngoma moja tu
P Funk mchawi wa bongofleva. Sema mwenye track ya GeezMabovu kioo cha jamii featuring Nakaaya Sumari, Fid Q na Jay Mo aitupie humu. Naitafuta sana.
Dogo kauzu wa ifm,anakula zake bangi tu mbezi kwembe hukoRado wa usiulize Alipotelea wapi?
Please ludigo hivi nani kakutuma"😃,hlf ludigo alikua mchizi flan ambae hata ukikutana nae njiani ukiambiwa huyu ndio huwezi kuamini kwa kipindi kile alivyokua anavumaHuwezi itaja Bongo Records bila hawa watu ..
Profesa Ludigo, Bizman
Rado hajawah kufany kaz na majani
View attachment 1190466
Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka ishirini iliyopita alikuwa na hisia za kupendelea muziki na pindi hadi kuamua kufanya kweli kuvutiwa kwake kupenda muziki ndio chanzo kikubwa kilichopelekea kufanikiwa katika muziki.
Kwenye miaka 1991-92 wakati yupo bado shule IST (International School Of Tanganyika. Alikuwa mtundu mtundu kwenye studio za pale shule.. kupiga- piga midundo mbali mbali ya hapa na pale na kufoka-foka(Rap music) na pia alikuwa mbele sana kwa kupiga muziki kwenye Pati mbali mbali.. na hapo alikuwa kupenda sana musiki kwa ujumla.
Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!
Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.
Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!
Enjoy!
kuna ngoma moja ilihusisha wasanii wengi na ndani yake alikwemo jamaa anaitwa ZAHRAN na DUDUBAYA pia yumo inaitwa SEMA UNACHOSEMA yeyote mwenye nayo aitupie hapa
aisee naiomba hiyo ngoma mkuu...nitumie pls!Hii ngoma inaitwa SAFARI NJEMA.
Yupo Jaymoe, Complex RIP na Dudubaya (sio hili bwege la siku hizi linajiita konki nini sijui). Ni moja kati ya ngoma nilikuwa nazikubali sana ila sikujua pa kuipata, majuzi nimeipata rasmi.... bonge moja la ngoma.
samahani uyu Complex namsikia sana kama unapicha yake tafadhali tupia ikiwezekana hata ya Vivian kama ipoHii ngoma inaitwa SAFARI NJEMA.
Yupo Jaymoe, Complex RIP na Dudubaya (sio hili bwege la siku hizi linajiita konki nini sijui). Ni moja kati ya ngoma nilikuwa nazikubali sana ila sikujua pa kuipata, majuzi nimeipata rasmi.... bonge moja la ngoma.
samahani uyu Complex namsikia sana kama unapicha yake tafadhali tupia ikiwezekana hata ya Vivian kama ipo
Shurkani🤛 naya Vivian kama unayo tafadhali mana niliskia walipata ajali wakiwa wote na kufariki uyo dada naskia alikuwa mtangazaji