zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,189
- 1,828
Mkuu kwenye fleva ya Music tunaenda sawa hizo hits zooote ni favourite zanguMajani kwenye "nini mnataka mazee" ya Pig Black alipatia mpaka basi.
Pia kwenye Jirushe la Ferooz na Nipo busy la Jafffarai.Kiujumla P ameitendea haki sanaa.
Majani salute kwako brother.
Pamoja mkuu.Mkuu kwenye fleva ya Music tunaenda sawa hizo hits zooote ni favourite zangu
hahaha we jamaa banaHahaha, alikua nazo zingine mbili ila haziku hit, William yuko mjini hapo ,
Tumebeba sana totoz kwa hiyo nyimbo
Hahahaha nini sasahahaha we jamaa bana
😂Hahahaha nini sasa
Hahahaha, we Mzee bana,siku hz nimekua muzee ,ila ukweli ujana nime ula Mkuu ,sio kuwatafuna masista du lkn ,bata tu za hapa na pale
mkuu, wewe ni mtoto wa mjini wa enzi hizo
ma sister du umewatafuna sana, hii sio mara ya kwanza naona una kiri hilo jambo
vipi siku hizi huwatafuni ?
mkuu, mimi saivi ndio kumekucha sasa, najitahidi nipate mtonyo nile ujanaHahahaha, we Mzee bana,siku hz nimekua muzee ,ila ukweli ujana nime ula Mkuu ,sio kuwatafuna masista du lkn ,bata tu za hapa na pale
Hahaha, we uko ulipo ,si unakula ujana na mtonyo wa kutosha?mkuu, mimi saivi ndio kumekucha sasa, najitahidi nipate mtonyo nile ujana
😆mkuu, nikizipata na enjoy zikiisha kama saivi natulia tuHahaha, we uko ulipo ,si unakula ujana na mtonyo wa kutosha?
Cool James mtoto wa dandu, kifo chake bado sijawahi kukielewaga ilikiaje.....ajali za magari hizi mh!!
Cool James mtoto wa dandu, kifo chake bado sijawahi kukielewaga ilikiaje.....ajali za magari hizi mh!!
Hahahahamkuu, nikizipata na enjoy zikiisha kama saivi natulia tu
Cp...6 in the morning. Ringtone yangu ya wakat huo...Kumekuwa na maneno ya kuhoji producer mkali all the time kwa Bongo,wapo wanaotaja taja hadi wakina T-touches na S2kizy!!
Uzi ni maalumu kwa ajili ya tracks za Bongo Records ili vijana wachanga waweze kutambua kazi za Godfather huyu mwenye misimamo.
Baadhi ya kazi za Bongo Records,wadau wengine watatuwekea pia na Mimi nikiendelea kuzipandisha kila nitakapopata fursa!!
Enjoy!
Mkuu salama
Tafuta nyimbo inaitwa "INANIUMA SANA" ya Juma nature a.k.a kiroboto.
Sikiliza ile mistari...
Kibongo bongo blowjob unaendesha gari nikutafuta majanga tu.