za kale dhahabu hebu endelea kushusha nyingine aiseemida ya iftar hii
za kale dhahabu hebu endelea kushusha nyingine aiseemida ya iftar hii
Ukipata mzee fanya mambo tupate woteAisee noma sana
Natafuta nyimbo za Renee lamira ya "fitina" na "ngoma ya kwetu"
Majani Bila hivyo vichwa alikuwa si MTU ndio maana baada ya kusepa majani aliteremka ....Asee ,ludigo, Mario , enzi hizo studio Don Bosco
Hahahaha, bora umeongea ,naijua Bongo records toka masaki ,mj toka enzi za Mario linje ,don bosco na maskani, enzi majani uko ISTMajani Bila hivyo vichwa alikuwa si MTU ndio maana baada ya kusepa majani aliteremka ....
Ila huwa nashangaa hivyo vichwa huwa havitajwi... Kama ngomq ya She Gotta Gwan ya ngwair hakuichonga majani ni hivyo vichwa ila saluti zinaenda kwa majani..
Ngoma ya Akwelina pia
Mikasi si mkono wa Majani ule ni Professa LudigoHujaweka ngoma za Juma nature na Ngwair hapo... Mikasi, sitaki demu,ghetto
Hao ndiyo waliibeba studio na si MajaniHuwezi itaja Bongo Records bila hawa watu ..
Profesa Ludigo, Bizman
She got a gwan imeundwa studio ya Bongo records.. Ila waliyoisuka ile Beat ni Soggy Doggy, Bizman na Mzungu kichaa. Majani hajagusa kitu
Mikasi ni kazi ya Professa Ludigo si Majani
Rado hajawah kufany kaz na majaniRado wa usiulize Alipotelea wapi?
27. Mstari wa mbele - kalapina1. Kama unataka demu - j mo
2. Nyumbani nyumbani - TMK
3. Simu yangu - solo
4. Gado rmx - zay b
5. Dj - sister p
6. Msela - ngwea na nature
7. Usinichukie - afande sele
8. Jinsi tulivyo - Manyema family
9. Maskini jeuri - temba na mwenzie
10. Nampenda yeye - temba
11. Handsome - dully sykes
12. Ulibisha hodi - watu poli
13. Hawatuwezi - Nako 2 Nako
14. Agost 13 - Fid q
15. Piga makofi - Prof j
16. Tumbo joto - kali p
17. Ya leo kali - wachuja nafaka
18. Si uliniambia - mb dog
19. Latifa - Mb dog
20. Tatu bila
21. Jirushe - ferouz
22. Nicheki - o ten
23. Wanapendana - fa
24. Cheza kidogo - ngwea na jmo
25. Kijana mteja - ferouz
26. Alikufa kwa ngoma - fa
List ni ndefu kwa kweli ila tuishie hapa
40. Niamini - hbc27. Mstari wa mbele - kalapina
28. Roho inaniuma- fid q ft C. Bella
29. Wananichokoza- babalevo
30. Wanaokwenda jela-lwp
31. Sungura na fisi- pingu & deso
32. Joanita- pingu & deso
33. Party flani- geezy mabov, ngwea
34. Tupo juu- Ngwea (majani&q the don)
35. Mtoto wa jakaya- ngwea
36. Hakuna noma- prof j
37. Mnizoee- critic
38. Unilinde- prof j ft diamond
39. Kibanda cha simu- soggy
....list inaendelea