Ubora wa mwanamke upo katika haiba yake

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
dbc896ad6d9099944c5c89b47f2000ce.jpg

Ubora wa mwanamke upo katika kutunza haiba yake:kuwa na utajiri wa tabia njema na kinywa kitamu cha kunena maneno matamu na ya hekima na busara kwa kila amsikiaye.

Mwanamke mjinga ambaye ni mwerevu hutafutwa na wanaume wajinga ambao ni waerevu kwa dua na maombi, pia husitiri maungo yake kwa mavazi nadhifu na yenye staha.

Ndege wafananao huruka pamoja na siku zote ndege mwenye mabawa hujua mahali mtama unapolimwa.

Ukitaka kupata mke mwema yatakiwa na wewe uwe mwema .Mwenyenzi Mungu ni fundi asiyeishiwa kuumba wanawake :wazuri,bora na watamu kwa waume bora.

Mwanamke anaweza kuvaa nusu uchi na micro-Mini-Skirt na asiwavutie wanaume wajinga na waerevu bali akawavutia wanaume :warafi ,wajuaji na wenya tamaa ya penzi.

Ila mwanamke mjinga na mwerevu anaweza akavaa kwa kujisitiri maungo yake na kuficha ubora wa shape yake ila uzuri na ubora wake ukagunduliwa na wanaume wajinga na waerevu. The most beautiful thing about a person isn’t looks, but heart and personaility.

[HASHTAG]#HaibaYaMwanamke[/HASHTAG].
ee58a86a00acb843ebd1f509be010522.jpg
 
Asante mkuuu...hiii wiki niyakuwambia ukweli bila kupapasa !!.

Eti oohhhh ninabonge latako ...ooohhhhh sijui nn....utadhan km tako linamfanya mwanamme awe mwanamme.

Asante mkuuu.
 
Ahsante sana kwa ujumbe maridhawa. Ni wachache wenye kuelewa hii kitu ila ndio ukweli wenyewe huo.

Naomba nirudie haya maneno yako "Ukitaka kupata mke mwema yatakiwa na wewe uwe mwema" wanaume walio wengi wanataka mwanamke ndio awe mwema pekeee bila kujiangalia kwa upande wao je huo wema wanaoutaka wao wanao.
 
Mke mwema anatoka kwa Bwana!!
 
Emmyta mambo VP best
 
Baeleze baeleze
 
Back
Top Bottom