Kenny Onney
Member
- Sep 6, 2011
- 11
- 1
Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?
Ndiyo ulikuwa unasubili majibu kama hayo?aina hii ya majibu utaipata mbaka utachoka.Sasa mtu anasema UDSM bila hata kutoa sababu za msingi kwa nini anasema hivyo!Mwingine atakwambia CBE inatisha!!!No place like udsm,bcom-accounting ya hapa imetulia sana,ikifuatiwa kwa mbali sana na vyuo kama IAA na mzumbe.
I heard watu wanaipa promo BAF ya mzumbe kuliko bcom za udsm..
Ina Maana hata CPA za chupi na mtoto wa nani huyu zimeanza kuingia,?mie naona IFM,Wanajitahidi vijana wao mpaka sasa KULIKO WA UDSM hawajitumi na wanajiona wapo juu kwa maneno ya ubishi ubishi na kujimboss themselves kama wakenya maofisin,nilitaka kuacha kuchangia kwani ni upuuzi na ujinga kuongelea vitu kama hivi!
ila elimu ya sasa inapimwa na kitu kinachoitwa compentent based sio knowledge based
na kipo ninachotumiwa kwenye soko la ajira ni cpa! huyo ndo mhasibu mzuri
japo siku hizi kuna wahasibu certified wahawezi kufunga financial statement!
kwa hiyo ubora unapimwa na ufanisi wa mtu
Ina Maana hata CPA za chupi na mtoto wa nani huyu zimeanza kuingia,?mie naona IFM,Wanajitahidi vijana wao mpaka sasa KULIKO WA UDSM hawajitumi na wanajiona wapo juu kwa maneno ya ubishi ubishi na kujimboss themselves kama wakenya maofisin,
Vijana waIFM Walioingia kwa mkopo au kujisomesha wenyewe ndio wazuri wajaribun
Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?
Ina Maana hata CPA za chupi na mtoto wa nani huyu zimeanza kuingia,?mie naona IFM,Wanajitahidi vijana wao mpaka sasa KULIKO WA UDSM hawajitumi na wanajiona wapo juu kwa maneno ya ubishi ubishi na kujimboss themselves kama wakenya maofisin,
Vijana waIFM Walioingia kwa mkopo au kujisomesha wenyewe ndio wazuri wajaribun
ebu tutolee upuuzi wako hapa,ifm nacho ni chuo cha kutoa graduates wa maana?