Ubora duni wa viongozi wetu: Niko mjini Morogoro, MORUWASA ni mfano wa uongozi mbovu

Picha mkuu hao watu waziri anapitia jf
Waziri mwizi, Boss! Huyo ni kijana mwizi sana. Akiwa naibu, yeye pamoja na katibu wake mkuu Mkumbo walikuwa mabingwa wa kuwatumia maafisa Bonde kupiga pesa. Leo hii ni waizi na ananendelea kugawana pesa na maafisa hao. Anaamini ni siri lakini tunazipata zoooote.
 
Bora hayati angekuwepo kwa huu uzi tu kuna mtu ofisini asingekuwepo sasahivi!
Tiss imejaa waluguru bila shaka na kana kwamba hawaambiwi kitu. Magufuli alilia kuwa katika mikoa inayomsumbua ni Morogoro hadi akabadilisha mkuu wa mkoa. Morogoro ni shida mkoa ulioshindikana, wananchi wake wa asili ni waharibifu wa milima mizuri yenye maji ya Morogoro, afu wanajifanyaga hawana shida hata kama wasipokuwa na maji, shule wala barabara, mnaolalamika wageni.
Lakini Morogoro was very mice place to live hasa pembeni pembeni, yaani kwenye zile threshold za kilima.
 
Wanajifanya kukamata waokota kuni milimani, wakat wanachoma wao milimam kwenye vyanzo vya maji, ili wauze maji mitaani, Kuna walinz mbona wanashindwa kudhibit Moto.
Wenyeji wanaoishi milimani kwa kulima na kufuga mbuzi ndo huchoma moto kwa Tambi, anaweka tambi jioni then usiku sana moto unaona ushaanza utamkamata nani, wengine huchoma kuvizia viwanyama vidogodogo na ili majani yachipue mapya
 
Bado hujaenda kwenye gharama za kuunganisha maji, mteja unalazimishwa kununua vifaa kwao ambavyo bei ni mara mbili ya bei ya sokoni
Mtu anaunganisha maji mita 15 kutoka bomba kubwa gharama zinafika laki 4!
Laki nne wamekupendelea. Mimi walinipiga laki sita na nusu na bomba kumbe halina maji
 
Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.

Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza maji, yanayotoka kwenye matenki ya MORUWASA. Ni hali ya kusikitisha kwamba Usanii wa wizara hii uko nchi nzima. Ni utawala wa kubembelezana na kujisifu rangi yangu nyeupe! macho yangu yamelegea!

Taarifa za mitaani ni kwamba wafanyakazi wa MORUWASA wanafunga mabomba na badala yake maji hayo yanauzwa kwa kutumia magari ya waajiliwa hawa. Ikifika Usiku milima yote inawaka moto. Ni uchomaji kila kona ya mji. Aibu ni kwamba Mkuu wa mkoa yupo! Mkuu wa wilaya yupo! Nini thamani ya kuwa na viogozi wa ngazi hizi? Nini kazi zao za kila siku?
NAONGEA HAYA KWA KUMAANISHA NA USHAHIDI...

Niko morogoro hapa maeneo ya bigwa na nina ushahidi na vielelezo vyote

Maji yanatoka mara 1 ndani ya siku 4 kila mwezi ,na yakitoka mara 2 ndani ya siku 5 mna bahati...
Naongea apa nikiwa niko moro mjini kabsaa hapa kilometa 2 toka msamvu..

IJE BILL YA MAJI SASA...

Yani maji inakuja bill elfu 20 ...jamani elfu 20 kwa maji kutoka masaa m2 kila baada ya siku kadhaa....

nikjaribu kufafanisha na nyumba ya previous niliyokaaga bill ilikuwa inakuja elfu 6 kwa elfu 8 na matumizi ni yale yale...

UKIWA UNAUGULIA YA MAJI ..KUNA WAJINGA WENGINE TANESIKORO

umeme wanakatakata ovyo , bila taarifa nshauunguza friji na pasi mpka sasa....hii nchii inachosha

na mimi binafsi cmuelewi huyu bi mkubwa ....

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sisi wakazi wa kingolwira majengo mapya (mtaa wa bomba la mafuta).

Kuna miundo mbinu ya maji iliwekwa zamani na miradi ya Mh Mariam ditopile ambayo ilifika kwetu na maji tulikuwa tunapata vizuri tu hadi april mwaka jana 2021.(sisi tunaamini before JPM passing).

Yalitoka vizuri iwe mvua liwe jua.ila kwa sasa hatupati maji .

Toka august mita zetu hazisomi maji tunauziwa na bowser kwa sh 20000 kwa lt 1000 kwa vile huku ni mbali.(inatugharimu).

Mwanzo tuliambiwa ni ukame, mvua imenyesha tunaambiwa ni matope,

Ajabu ni taasisi za karibu tunaotumia mradi hii ya karibu karibu yaani maeneo ya chem chem ya mlima yaani magereza, jeshi na mkambarani hadi mikese wao hawakuwa na kadhia hii, Jeshi la pangawe wanauza masaa 24 mabomba 4 na utokaji ni presha nzuri sana.ajabu sisi tulio chini ya mlima wa jeshi hatupati ni IMANI pamefungwa mahali kututaabisha.

Sisi tunaambiwa ufumbuzi ni kuusubiria mradi wa mwindu, mazimbu, lukobe, yepsa , tungi na kingolwira ufike.

Tunachokiona moja SSH anahujumiwa.watu kauli zao ni kabla yalitoka ila baada ya kutenguliwa mkurugenzi wa moruwasa hatupati maji.

Pili, Diwani ni magumashi ni mbabe na watu tunamuogopa.
Tatu mkuu wa wilaya amekagua sana vyanzo vya maji lakini waliandaa mabomba na kumwambia wanabadili mradi wa zamani kwenye ule mradi aliowahi simamia Ditopile.

Sasa mvua zinanyesha hatujapata hata tone na ni wiki ya pili mvua zinanyesha.
 
Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.

Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza maji, yanayotoka kwenye matenki ya MORUWASA. Ni hali ya kusikitisha kwamba Usanii wa wizara hii uko nchi nzima. Ni utawala wa kubembelezana na kujisifu rangi yangu nyeupe! macho yangu yamelegea!

Taarifa za mitaani ni kwamba wafanyakazi wa MORUWASA wanafunga mabomba na badala yake maji hayo yanauzwa kwa kutumia magari ya waajiliwa hawa. Ikifika Usiku milima yote inawaka moto. Ni uchomaji kila kona ya mji. Aibu ni kwamba Mkuu wa mkoa yupo! Mkuu wa wilaya yupo! Nini thamani ya kuwa na viogozi wa ngazi hizi? Nini kazi zao za kila siku?
MORUWASA ni aibu mkuu.Jambo la ajabu ni kwamba Waziri wa Maji kijana Aweso yupo,ana bwabwaja,tu Kiswahili kiingi,kazi zero.Arudishwe Pangani huyu,kashindwa kazi.
 
Mwaka JanaNilienda kutalii moro kiukweli swala la Maji ni tatizo Baadhi ya sehemu. Niliwahi kuona sehemu Moja Maji Yanatolewa mbali na hayatoki kila siku. Nashukuru Mungu Pochi yangu ilikuwa imejaa nilichill Hotelini sikuleta shobo kabisa za kulala kwa ndugu
 
Morogoro ni hovyo kabisa! Hii ni February 2022. Nimepita njia kuu ya Iringa unajionea mafuriko ya bwawa la maji yanayotegemewa na mji mzima wa Moro, lakini eti mabomba ni makavu kwa miezi 5 iliyopita! Mbunge nido huyo! Waziri wa maji, ndo yule kijana ambaye nimeambiwa lazima abebwe na dini yake (openly) Kwani hakuna wengine wenye uwezo na dini hiyooooo! This is almost rubbish!
 
Back
Top Bottom