Ubongo wa wana ccm umefunikwa na picha ya lowassa

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
sisi wana saikolojia tunaamini kuwa kile kitu kilichojaa kwenye ubongo wako ndicho utakacho kiongea mara kwa mara

Biblia pia inasema yaujazayo moyo ndiyo yautokayo

wana ccm asilimia 90 ubongo wao umejawa na picha ya Lowassa kila baada ya dakika tano wanamfikiria mara 2-3 na wakilala picha wanayolala nayo kwenye ubongo ni ya lowassa
wakiamka usiku kujisaidia wanaamka na picha ya Lowassa

asilimia 75 ya ndoto za wana ccm wanamuota Lowassa.

Wale makada halisi wa ccm wangetamani Lowassa afe kwao wangefurahi sana.
Mfumo wa kiisakilojia wa wana ccm wengi umeingiliwa na kirusi cha kuwaza jambo moja mara nyingi psychological disorder
 
Sijaona kiongozi wa sisiem amalize kampeni bila kutamka neno Lowassa. Uchunguzi wako una ukweli falani hivi. Mara lowasa kajinyea mara mginjwa mpaka na pushups wanapiga mradi tu kuonyesha lowassa yeye mgonjwa wao wananguvu.
 
Back
Top Bottom