Ubongo wa serikali yetu kama wa Nyani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubongo wa serikali yetu kama wa Nyani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 9, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimewahi kuambiwa ili kumuua nyani kirahisi sharti wawepo watu watatu au zaidi kwa sababu Nyani hawezi ku-control idadi ya vitu vitatu au zaidi kwa wakati mmoja,atachanganyikiwa tu na atauwawa kirahisi.Serikali yetu inajaribu kupambana na mgao wa umeme kwa kutumia mitambo ya gesi lakini mitambo yenyewe ya kuzalisha gesi ni mibovu na michakavu.Okay,wakati wakihangaika na upatikanaji wa umeme na gesi,huku nyuma mafuta hayapatikani kwa wananchi.Dah,sijui waanze na lipi?UMEME,GESI au MAFUTA?,kazi kwako nyani!
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Waanze kwa kumbalisha kiongozi wa nchi
   
Loading...