Ubomu wa fedha zetu na janga la kiuchumi nani alaumiwe ??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubomu wa fedha zetu na janga la kiuchumi nani alaumiwe ???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbasamwoga, Jul 21, 2011.

 1. m

  mbasamwoga Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fedha zetu yaani sarafu na noti sio imara hata kidogo, sarafu zetu ikidondoka arhini baada ya wiki haitamaniki tena kutokana na kushika kutu,noti zetu mpya ndio kabisaa inaghushika kama njugu mitaani na inachakaa kwa haraka zaidi. Je hasara hizi za fedha kuoza na kuchanika ovyo ovyo mbona mamlaka husika zimekaa kimia? Sarafu za mkoloni yenye miaka hamsini hata leo ukiichimbua ni myaaaa?????
   
 2. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama ulikuwa haujui hii ndo TANZANIA NCHI YA AMANI.
   
Loading...