"Uboho" unatibu UKIMWI, je waujua "uboho" wenyewe? Huu hapa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Huu unaouona hapa ni "Uboho"

FB_IMG_1551861600065.jpg


BBC wame report haya chini

Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells).
Madaktari wamegundua hilo baada ya vipimo kukosa viini vinavyosababisha ugonjwa huo.
Huyu ni mtu wa pili duniani ambaye amepatikana hana virusi vya UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho.
Tukio hili limeibua upya matumaini kuwa juhudi za kupata kinga dhidi ya UKIMWI na virusi vinavyosiababisha huenda zikazaa matunda karibuni.
 
Hii tiba mpaka ije ifike ulimwengu huu wa tatu labda baada ya miaka kumi ijayo na pia gharama zake itakuwa ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom