MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
watoto wadogo wakitandika viloba bila wasiwasi. Hata kama dunia imeharibika usikubari iharibikie watoto wako
watoto wadogo wakitandika viloba bila wasiwasi. Hata kama dunia imeharibika usikubari iharibikie watoto wako
UKO SAHIHI 100%.Mkuu sio kwa watoto wako tu, bali kwa mtoto yeyote! Namshangaa sana huyo "mtu mzima" aliyekazana kuwapiga picha hawa watoto badala ya kuwaokoa na "sumu" hatari waliyoshika mikononi!! Very very sad!!!!!
Kutokana Na ukali wa hiyo kitu, hawez kunywa itakuwa wameshika karatas zake Tu, chezea hiyo kitu niniiMkuu sio kwa watoto wako tu, bali kwa mtoto yeyote! Namshangaa sana huyo "mtu mzima" aliyekazana kuwapiga picha hawa watoto badala ya kuwaokoa na "sumu" hatari waliyoshika mikononi!! Very very sad!!!!!
Most likely wazazi wanafanya hii biashara au wanaishi mazingira yanayouzwa hivi vilevi na hakuna uangalizi mzuri wa watoto
watoto wadogo wakitandika viloba bila wasiwasi. Hata kama dunia imeharibika usikubari iharibikie watoto wako