Ubishoo wa wachezaji kuiondoa Spain Euro 2016

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,694
239,259
Kiukweli unapotaka kushinda mechi ya soka ni lazima uwaze kandanda .

Wachezaji karibu wote wa Spain hawajuti kufanya makosa uwanjani , hawaonyeshi concentration ya mchezo , " THEY DO NOT FEEL THE GAME "

Ni kama ni wachezaji walioridhika na mafanikio waliyoyapata , wanafungika kirahisi sana .

Natabiri wataondolewa na ITALY .
 
italy kwa mbinu hawana mfano,2006 walianza kama hivi mwisho nikaona canavarooooo
 
Sio kuwa hawajitumi uwezo wao umefika kikomo mbona ndo mpira wao huo.Kizazi cha kina xavi ndo kimeishia hapo hata iniesta anachezeshwa kibabe hawana mbadala wa uhakika
 
Kiukweli unapotaka kushinda mechi ya soka ni lazima uwaze kandanda .

Wachezaji karibu wote wa Spain hawajuti kufanya makosa uwanjani , hawaonyeshi concentration ya mchezo , " THEY DO NOT FEEL THE GAME "

Ni kama ni wachezaji walioridhika na mafanikio waliyoyapata , wanafungika kirahisi sana .

Natabiri wataondolewa na ITALY .
Nawapongeza Spain kwa kuliteka soka LA Dunia katika kipindi cha miaka 6 sidhani kama kuna timu anaweza kufanya hivyo katika karne ya 21
 
Hiyo hali hutokea sana hasa pale ambapo wamechukua kombe la dunia na Euro mara mbili mfululizo. Siyo ubishoo ila ni kukinai mafanikio.
 
Hiyo hali hutokea sana hasa pale ambapo wamechukua kombe la dunia na Euro mara mbili mfululizo. Siyo ubishoo ila ni kukinai mafanikio.
Kucheza chini ya kiwango kisa umeshiba mafanikio ni kuwaibia watazamaji waliolipa hela zao ili kuona kandanda safi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom