Ubishoo na Ushamba ndani ya Club House

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,431
5,132
Salaam,

Kuna hii App mpya ya ClubHouse ambayo imeanza kushika kasi ya watumiaji wengi bapa nchini na Duniani kwa ujumla, nadhani baadhi yetu tunaifahamu.

Sasa kuna kitu ninachokiona kwa watumiaji wengi wa Kibongo ni Ubishoo uliopitiliza kama ule wa enzi za BBM pamoja na ushamba wa kitu Kipya.

Ndani ya Club House kila mtu Mzungu. Nimeona hadi ClubHouse Party inaandaliwa ambayo kuna wenyewe wanaodhani Club House ni ya "Watu" flani hivi.

Wabongo tuache ushamba na ulimbukeni, ClubHouse is just an audio Chat Platform for everyone hata wa Kijijini inawafaa pia.

Ni platform nzuri sana kwa vijana iwapo itatumika kuendesha mijadala/dialogue za Maana na sio ubishoo wa kujifanya Rich Class wakati ni Broke.

Naomba kuwasilisha.
 
Kwahiyo hiyo CH haina tofauti na Twitter spaces ?
 
Introduction
  1. Clubhouse ni nini?
  2. CH inafanya nini na kwaajili ya watu gani?
  3. etc..
Content
  1. Hawa vijana wanakosea nini?
  2. Attachment
  3. etc
Hitimisho
  1. Nini wamiliki wa CH wafanye?
  2. Nini serikali ya Tanzania ifanye?
  3. Nini sisi wana JF tufanye? Ili kuwasaidia hawa vijana.
Asante.
 
Kweli wewe nimekubali Ni genius
 
Salaam,

Kuna hii App mpya ya ClubHouse ambayo imeanza kushika kasi ya watumiaji wengi bapa nchini na Duniani kwa ujumla, nadhani baadhi yetu tunaifahamu.

Sasa kuna kitu ninachokiona kwa watumiaji wengi wa Kibongo ni Ubishoo uliopitiliza kama ule wa enzi za BBM pamoja na ushamba wa kitu Kipya.

Ndani ya Club House kila mtu Mzungu. Nimeona hadi ClubHouse Party inaandaliwa ambayo kuna wenyewe wanaodhani Club House ni ya "Watu" flani hivi.

Wabongo tuache ushamba na ulimbukeni, ClubHouse is just an audio Chat Platform for everyone hata wa Kijijini inawafaa pia.

Ni platform nzuri sana kwa vijana iwapo itatumika kuendesha mijadala/dialogue za Maana na sio ubishoo wa kujifanya Rich Class wakati ni Broke.

Naomba kuwasilisha.
tuambie kwanza Club house ni nini? inamilikiwa na nani ? ukianza tu kulalamika kwa watumiaji wa iyo CH hata mi nitakuona nawe ni tatizo kubwa
 
Introduction
  1. Clubhouse ni nini?
  2. CH inafanya nini na kwaajili ya watu gani?
  3. etc..
Content
  1. Hawa vijana wanakosea nini?
  2. Attachment
  3. etc
Hitimisho
  1. Nini wamiliki wa CH wafanye?
  2. Nini serikali ya Tanzania ifanye?
  3. Nini sisi wana JF tufanye? Ili kuwasaidia hawa vijana.
Asante.
🔨🔨🔨nyundo tatu za kukazia
 
Muonekano wa Clubhouse. Hiyo ni moja ya club nimejoin

91D2616E-0BCC-4447-B7D4-1EB65579979B.jpeg

30A89405-AC40-4DCD-9EF8-D4184E46D286.jpeg
 
tuambie kwanza Club house ni nini? inamilikiwa na nani ? ukianza tu kulalamika kwa watumiaji wa iyo CH hata mi nitakuona nawe ni tatizo kubwa
Clubhouse ni Application ya Kuchat kwa Sauti. Ni Group Chat Audio Platform.
 
Ukiona huelewi chochote kinacho jadiliwa hapa, ujue umekua mtu mzima maisha unayajua na majukum unayamudu... 😅 Kuna umri ukifika inabidi mambo mengine yakupite tu. JF Twitter Wasap zanitosha
Hahahahaha
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom