chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,709
Tunapo kuja neno nahodha kila mtu kutambua muongoza chombo mfano ndege,meli na n.k
nahodha hamepewa mamlaka makubwa sana kwenye chombo maana yeye ndiye hana kiongoza ila akiwa n kabinenti yake kimawazo kimaelekezo hata kimsaada zaidi na yeye ni binadamau
Nahodha ni mtu ambaye anaongoza meli au timu fulani. Kwa kawaida nahodha hutumika katika kitengo cha kijeshi, kwa kamanda wa meli, ndege au chombo kingine, au kamanda wa bandari, idara ya moto au idara ya polisi, idara ya uchaguzi, n.k.
Ila visa vya ajari nyingi ambavyo vengine vipo humu JF vimesimuliwa asilimia kubwa nahodha ndio ufanya yote asilimia 98 kwa kutokubali au kukubali makosa kwa kuwa hakuna sehemu itakayo mkatakaza kwenye chombo chake.
Kuna kisa kimoja “ wakati nahodha hana tafuta uwanja wa ndege kutua majira ya usiku huku hakiwasiliana na idara ya uwanja msaidizi wake alijaribu kumwambia kama vipo havipo sawa na maelekezo unayopewa kushuka basi nahodha kumjibu “usinifundishe kazi ungekaa wewe”
Yule msaidizi haka kaa kimya mara ya mwisho kuja kutaaamaki kumbe sio uwanja wa ndege wapo kwenye makazi ya watu kulingana na vipimo kutoka kwa nahodha.ilisikika neno moja msaidizi “nahodha nilikuwa tumekosea”.Na ajali ndio ishafika.
Mwenye hii makala kama anayo ilitokea USA
Hila huna kumbuka kitabu cha (muwa wazamisha meli)
Hapa tuna pata picha ule utamu wa muwa kwa nahodha na wafanyakazi wasaidizi mpaka meli inapata tatizo.na alikuwa hataki kuelezwa kwa ukali wake
Tujadili tukitumia tafsida