UBISHI:Mtanzania ,Mrusi na Mchina,nani ana technology nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UBISHI:Mtanzania ,Mrusi na Mchina,nani ana technology nzuri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Saint Ivuga, Jan 3, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  kulitokea ubishi kati na mrusi mtz na mchina ..wote walikuwa wanabishana ni nani mwenye technology nzuri
  Mrusi:Kuna mtoto alikatika mguu tukauunganisha sasa hivi huyo kijana ni mwana athletic mzuri na ana medali za dhahabu.
  Mchina: Sisi kuna mtoto alikatika mkono tukamuungaisha sasa hivi ni mtaalamu mkubwa kwenye kampuni la kutengeneza software.
  Mtanzania:Kuna mtoto kule bagamoyo alikatika kichwa tukamuwekea Nazi sasa hivi kawa rais
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaa kichwa Nazi.com
  Kweli jamaa amenena.
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Out of time mjomba katafute nyingine,kwani lazima hii tu kila siku?aghh
   
 4. U

  USUAL Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekosea huyo mtoto alikuwa wa bunda na rais.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  dah sorry kaka nilikuwa jela ndio nimetoka kaka..tupe mavitu mapya basi
   
 6. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa una utani na HB wetu ww nakuona ...........hujui ni mtu wa watu huyu a.k.a tabasam nipate furaha nataka nikuone ukicheka baby taaaaaaaaaaaaaabasam nipate faraja
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Tehetehteh.......... thnx mkuu u made my day!!! sasa nimeshaelewa ndio mana kilaza.
   
 8. g

  guccio Senior Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daaah...unajua mjinga aongozi wenye akili hata cku moja ataongoza wajnga wenzake,
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Jamani,hili ni jukwaa la jokes,sasa wewe badala ya jokes,unaandika ukweli hivi!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,515
  Likes Received: 19,937
  Trophy Points: 280
  inabidi nipigwe ban aisee
   
Loading...