Ubiquitous Puzzles

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Apr 22, 2006
2,556
1,383
I am having this strange feeling that I don't have to try to complete this ‘before power goes off". The thing is, power hasn't been going off lately. As a matter of fact, there has been water and electricity in my part of town, continuously for two weeks! This is quite unusual; is there a catch? What is wrong?

Availability of water and electricity is not by any means the only puzzle that I have been pondering these last few days. I have been wondering about the logic of this BoT thing too. It seems to me that if you heard that some theft had occurred in your house, and on inspection of the first room you indeed found evidence of theft, you would want to inspect the other rooms as well. If we have established that money was stolen from the External Payments Account, why wouldn't we want to know whether money was stolen from the other accounts too?

I had some breakfast this morning, and I thank Gold Almighty for that precious gift. I did not enjoy it fully though, for I was listening to news at the same time, and I did not like what I was hearing about our university students. I didn't like it one bit. Those blokes are so upset about election fraud in Kenya that they have pounded the tarmac all the way from their Hill to Jangwani Grounds! But what have they done to register their objection to the stealing of large amounts of the very money that keeps them at the Hill? Why have our university students not demonstrated to demand an investigation of all the stealing that has been done at the BoT over the last ten years? Don't they know that it is this very stealing that denies them adequate educational loans? The money that has been siphoned off through the BoT over the last few years would have been enough to build a bridge from Feri to Kigamboni!

I find what I am hearing about lecturers at UDSM puzzling too. These colleagues have complained, to the public, that there are tribal groupings at the Hill. I thought we, the public, could complain to the dons about things like this, but perhaps I was wrong. Don't the lecturers of UDSM have more input into the shaping of behavior at the Hill than you and I? Learning is changed behavior. Lectures are well positioned to fight tribalism among students. They do this better in lecture theatres than in public squares.

Like I said, Dar is indeed a puzzling place. Lets see what tomorrow brings.
 
I have been wondering about the logic of this BoT thing too. It seems to me that if you heard that some theft had occurred in your house, and on inspection of the first room you indeed found evidence of theft, you would want to inspect the other rooms as well. If we have established that money was stolen from the External Payments Account, why wouldn’t we want to know whether money was stolen from the other accounts too?

Mwalimu,

Kwanza pole sana kwa kadhia ya maji na umeme.

Hapo kwako kuna hoja, lakini majibu ya hoja yako kwa CAG na serikali. Kumbukumbu yangu inasema kwamba, CAG alituambia kwamba alikabidhiwa documents mbili. Moja ilikuwa ni ya ukaguzi wa mahesabu ya Account ya EPA na ya pili ilikuwa ni ya ukaguzi wa mahesabu ya mwaka mzima wa fedha wa 2005/06.

Maajabu niliyoyaona katika Press Release ya Mzee Luhanjo ni kwamba aliongelea EPA peke yake, hakugusia lolote kuhusu ukaguzi wa mahesabu wa mwaka wa fedha wa 2005/06 na ndiyo maana akina Dr. Slaa wanasema kama hawajaona chochote kinachoitwa Deep Green Finance (sijui ni green ya CCM ama TANU?), Mwananchi Gold, Tangold na mazagazaga mengine hapo ukaguzi utakuwa haujakamilika. Hapo ni kwamba kuna vitu vimefichwa kwa malengo/makusudi fulani (mimi siyajui)! La msingi ni kwamba ni jukumu letu wananchi kuibana serikali iseme report ya ukaguzi wa mahesabu ya mwaka wa fedha wa 2005/06 iko wapi????

Lakini muhimu zaidi ni kwamba hatutaki hiyo extract ya report. Watanzania siyo wavivu wa kusoma, watupatie reports zote mbili tuzisome tuone walichogundua wachunguzi. Mambo ya kutupatia summary ambayo inachagua nini tusikie na nini tusisikie kwa kweli hawatendi haki.

Kama kweli wanataka haki itendeke na wananchi tusiwaelewe vibaya, basi waitume kwa INVISIBLE atuwekee hapa hata kwa masaa tu then waone jinsi tunavyochambua kipengele kwa kipengele mpaka kila mmoja aelewe. Hapo ndipo wananchi watakuwa na haki ya kumpongeza JK kwa hatua zote atakazochukuwa kwa hao watuhumiwa wote ambao wamekuwa implicated.
 
sula la Deep Green ni zito.wewe kwanini haukujiuliza pale alikuja Luhanjo na tamko la Jk na wala Muungwana hakuja kutete na likuwapo ikulu.alijua angepigwa swali kuhusu DEEP GREEN.

bado nina ugomvi na Waandishi wa Tanzania.wamekuwa mabubu sana,sijui ni Bahasha wanazopewa?yaani hakuna cha mana ambacho huwa wanawahoji viongozi wetu
 
Mwalimu tunashukuru kwa uchambuzi mzuri,

Kama ilivyo kwako, mimi pia sijaelewa kama watanzania wengi tunaelewa kinachoendelea kuhusiana na BOT au la? Sielewi kwa sababu iliyofanywa ni financial year moja tu na imefanywa baada ya miezi nane almost tangu tuma kutolewa, pia imefanywa watuhumiwa wakiwa kazini. I have a feeing kwamba kiwango kilichotajwa kupotea (Bil 133) ni zile ambazo ilishindikana kabisa kucook support documents maana miezi 8 inatosha kabisa kupika documents kiasi wizi usionekane kabisa. This means hata kwenye hiyo EPA peke yake pesa ya walipa kodi iliyoliwa haina mfano achilia mbali accounts nyingine pamoja na ujenzi wa towers. Lakini cha ajabu tuko busy kumpongeza raisi kwa usanii aliofanya kumfukuza kazi balali na kuipa kazi bodi iliyoshindwa kumsimamia balali eti ikutane ichunguze then itoe adhabu-what a game jamani. Nimesikitika sana eti hata maalim naye anampongeza msanii kwa lipo hilo jamani au ndio hayo maigizo.

Binafsi sijapata kile nilitarajia kupata toka kwa viongozi wa ushindani (zamani upinzani). I mean msukumo ule unaoendana na ukubwa wa tatizo la BOT sijaona kwa viongozi wa ushindani. Well, maandamano sio njia effective sana ya kuishinikiza serikali ifanye uchunguzi wa kina BOT lakini ndio njia rahisi iliyopo kwa sasa. Personally nilitarajia viongozi wa vyama vinne kwa nguvu kabisa wakutane baada ya report wawe na tamko la pamoja kwa serikali kuhusu hilo na kwa upande mwingine waorganize maandamano makubwa tu ya amani kuiomba Serikali ifanye uchunguzi wa kina kirefu ndani ya BOT na kutaka bodi nzima ivunjwe sambamba na kushinikiza waziri wa fedha mhusika by then (mramba) ajiuzuru maana in my opinin BOT inapochemsha maana yake minister of finanze pia kachemka.

Sijui kwa kweli we need to do something very serious kwani kuna watu wanakufa kwa kukosa sh 500 za dawa wandugu wakati watu wanachezea mabilioni.

Ahsante.
 
Kuwe na "Kamati ya Bunge", itakayoongozwa na Dr. Slaa, ya kuchunguza wizi wote wa fedha za umma kupitia BoT. Kamati hiyo itatumia Auditors wa mwanzo walioachishwa kwa madai kwamba "ni wadadisi mno".

Waziri wa Fedha hana cha kusema? Au antetea huu wizi? Mbona hajatoa hata tamshi la kusema atafanya nini?

Nategemea vyama vya wafanyakazi, wanafunzi, wanaharakati mbali mbali, na jumuiya kwa ujumla ziitake serikali ifanye uchunguzi wa kina kuhusu kuibiwa kwa fedha za umma kupitia BoT.
 
Mwalimu,
Your absence has been noted. Good that your water and electricity are continuous. May it always be so. Lakini umezungumzia mwizi nyumbani. What if ulipanga njama na mwizi huyo? Ili ionekane kuwa umeibiwa kumbe umepeleka mali nyumba ndogo? Utamwambia nini mamsup? Si hapo ndipo utaanza kujikoroga mwenyewe? The saga continues.
 
Jasusi:

Hapo ni lazima tuite Scotland Yard, Interpol au vyombo vingine vya kutoka nje ili wakate mzizi wa fitina.

Moja ya matatizo ni gharama za ujenzi wa twin towers. Nadhani ujenzi uliisha miaka miwili iliyopita. Hivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa watu walishaachia madaraka katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

Na vilevile tume za nyumbani wengine watazifanya kama sehemu ya kujipromote wenyewe. Mjumbe wa tume wakati wowote anaweza kuteuliwa kushika nafasi itakayompa ulaji na kushindwa kutekeleza majukumu yake.
 
Hapo ni lazima tuite Scotland Yard, Interpol au vyombo vingine vya kutoka nje ili wakate mzizi wa fitina. .

Mkuu umesikia madudu aliyoyafanya PRESIDENT WA INTERPOL Jack Selebi? ndo utajua kwamba we are in deep shit hatuna pa kukimbilia, kama wale tuliwategemea na wao wanakimbia vivuli vyao! So where do we turn?
 
Fundi

Ubiquitous = Omnipresent, being everywhere at the same time

Zaidi ya hivyo "vitendawili" alivyovitoa Mwalimu, kingine cha ajabu ni kuwa unagundua kuwa Mlinzi Mkuu alihusika kwa namna moja au nyingine. Unamtoa kazi kwa misamiati tata, halafu unateua msaidizi wake ambaye bila shaka alihusika na kujua maamuzi yote makubwa, ndiye awe kinara wa uchunguzi makubwa.

Halafu unawapa miezi sita ya kuvuruga ushahidi wote na kumtoa kafara mlinzi mkuu ambaye kashatoroka na yuko nje ya nchi!

Rais tunaye.
 
Bin Marya,
Wallahi, ndala zako zimeniacha hoi!

Hizi ndala ni za kutoka Zimbabwe. Wakati ndege ya serikali inatumika kumpeleka Mke wa Bob Mugabe kufanya shopping South Africa, walalahoi wanaondoka na vimbwanga kama hivi.
 
Mkuu umesikia madudu aliyoyafanya PRESIDENT WA INTERPOL Jack Selebi? ndo utajua kwamba we are in deep shit hatuna pa kukimbilia, kama wale tuliwategemea na wao wanakimbia vivuli vyao! So where do we turn?

You tell me. The pile of sh!t is so huge.

Ngoja nijikumbushe aliyosema ndugu Balali tarehe 13.07.2007
*Asema Watanzania wa leo hawana uzalendo
*Awashangaa kuruhusu raslimali yao kupotea
*Asisitiza hawezi kujiuzulu kwa tuhuma tete
http://majira.co.tz/mobile/page.php?soma=tanzania&habariNamba=3233
 
Points za Pundit na Jasusi ni nzito sana. Ni kweli kabisa aliyekuwa akiangalia nyumba kabainika ndiye aliyeiba, kakimbia, na msaidizi wake ndiye kawekwa mwangalizi mpya wa nyumba! Makofi!

Bila shaka matayarisho ya malipo yalikuwa yanafanywa na wasaidizi, na Balali anaidhinisha. Hawa wasaidizi wakuu hawangeandika barua kwa Bodi ya BoT baada ya kuona idhinisho la malipo ya kiwizi?

Hakuna mchumi mwandamizi anayeshiriki kuidhinisha malipo ya kijizi ya mabilioni ya shilingi bila kufahamu ni ya wizi. Gavana mpya hakushiriki kuidhinisha malipo?

Wasaidizi wa wezi sio wezi? Amekimbia mwizi tukapata replacement ya msaidizi wake wa karibu. Tumefungwa bao la kisigino?
 
We are coming to that annual puzzle of ours, the so called BUDGET of The United Republic of Tanzania. As we have no Independent Implementation and Monitoring Committee, who is to say that the whole thing is not a sham? What is to prevent the shady characters that run us from telling nothing but lies in their budget?

Last year, Mama Mghji said that we were to spend 1.2 trillion shillings on education. Who is there to certify that that was indeed done? If there is no independent monitoring of the budget, why should we go through that rigmarole year after year?

I suggest that this time around, Abdallah Mkulo should simply tell us what taxes he is hiking. The rest of the pretenses are a waste of his time. More importantly, they are a waste of our time
 
I think we should request a few serious MPs that we know to scrunitise the implementation of last year's budget and see the extent to which the government fullfilled its promises. We should also try to assist by supplying them with the necessary data so that their srutiny is informed by evidence.
 
Back
Top Bottom