Ubinafsi wetu wanawake ndio chanzo cha wanaume kutuumiza

sijasema wadada wote huumizwa hivyo kuwa selfish,
Weee unaweza ukamtukana mwanaume yeyote kisa umeumizwa na mtu mwenye jinsia hiyo? Acha zako mkuu unahararisha ujinga tu other wise useme demu alikuwa opportunits ntakuelewa.
 
Huyo dada hakumpenda jamaa,ila mwanamke akikupenda NYIEEEE
Back to me mama watoto hana kazi ni mama wa nyumbani,ila can u imagine huwa anabana hela ninayomuachia then ananichukulia zawadi kali sana,,halafu ukichek hela ninayomuachia ni kuduchuu mno
Angalia usije ukawa na msaidizi,mwenyewe unakiri kua hela unamwachia kiduchu,hujiongezi hiyo hela ya ziada inatoka wapi?,bro shutuka mapema

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho aliamua kuwekeza akili, mawazo na hela kwaajili ya kuhakikisha mpenzi wake anasimama kibiashara. Kweli bi shost wangu alifanikiwa kufikia malengo kwa msaada wa huyo shem.
Utaogopa kutendwa mpaka lini.....hata usubiri milele hautompata huyo Malaika.....kama vipi uje nikutende pia........
Naona unajitambua....kweli sisi ni bidhaa adimu sana...yaani nimefikia wakati nawakimbia wanawake wengi sababu mmetumika sana na mnapiga virungu balaa tena vya fasta mno i.e zero waiting time...kwa hiyo nimeamua ni mwendo wa mabikira tu kwa sasa....
 
Kwenye mahusiano yao kuna kitu hakipo sawa

Ukiacha swala la roho mbaya kwa wanawake

Hakuna roho mbaya ya kiasi hicho kwa watu wanaopendana
Upendo una nguvu sana

Hakika nawaambia kama mahusiano yao yangekuwa yako sawa huyo jamaa angejivunia kuwekeza kwa mpenzi wake

Mpenzi wako aliyekusaidia ufike hapo ulipo tena kiuchumi leo kapata changamoto unasema apambane na hali yake??

Mbona jamaa hana ujasiri wa kwenda kwa mpenzi wake ambaye anajua hapo alipofika ni kwa sababu yake? Had analala na njaa?

Kuna kitu bado hujakijua kipo nyuma ya panzia, chunguza.
Mkuu,
wanaume tuko
Tofauti.

Hapa Najaribu kuvaa viatu vya jamaa,

binafsi wengine hatujaumbwa kuomba omba omba au kulia Lia shida kwa wanawake au watu baki.

Sometimes
tunakutana na Changamoto unakaza tu kiume,
Mwanaume kuomba chakula kwa mwanamke Ni fedhea.
(Hasa Kama ushauona KABISA upepo wa mwanamke ulienae ni mtu wa Aina gani)

Honestly,
Jamaa alikua sahii kabisa.
 
Kuna mambo mawili makubwa ambayo nimejifunza katika maisha yangu ya kuishi na wanawake:

1. Mwanamke hata umsaidie kiasi gani, na kwa muda mrefu kiasi gani, ikitokea siku UKASHINDWA kumsaidia kwa kitu kidogo tu, ule msaada wote wa nyuma hua UNASAHAULIKA! Yaani mwanamke hata umsomeshe, umjengee nyumba, mnunulie gari, mfungulie biashara nk siku ikitokea umefilisika na akaona kabisa huna tena msaada kwake, anasahau kila kitu. Mwanamke anakuthamini kama unamsaidia SASA.

2. Unapokua na mwanamke, chochote unachomfanyia, hata umnunulie NDEGE, meli, treni nk, yeye akikupa papuchi tu anahesabu kwamba AMEKULIPA kwa hicho ulichomfanyia. Kwahiyo akilini mwake ni kwamba HANA DENI kwako maana si ameshakupa mzigo? Ndio maana huyu anadiriki kusema jamaa apambane na hali yake maana yeye anahesabu kwamba jamaa alimsaidia IN EXCHANGE for mbunye kwahiyo WALISHAMALIZANA!
Ni kweli kabisa mkuu,
Yamewahi kunikuta
 
Mkuu,
wanaume tuko
Tofauti.

Hapa Najaribu kuvaa viatu vya jamaa,

binafsi wengine hatujaumbwa kuomba omba omba au kulia Lia shida kwa wanawake au watu baki.

Sometimes
tunakutana na Changamoto unakaza tu kiume,
Mwanaume kuomba chakula kwa mwanamke Ni fedhea.
(Hasa Kama ushauona KABISA upepo wa mwanamke ulienae ni mtu wa Aina gani)

Honestly,
Jamaa alikua sahii kabisa.
Ilinikuta few years ago niliuza geto nikahamia kwa manzi angu nikiwa Sina direction

Asee ilikua nikipakuliwa msosi no addition na manzi alikua mchungu balaa kila muda alikua ananiwakia hatari

Nilikaa one wiki nikaona Ni ungese nikahamia kwa masela geto.
 
Shemeji yenu bado namchora level yake ya UBINAFSI.Mpaka sasa nmegundua hata ukimpa hela saa moja iliyopita kama zawadi ni ngumu kutoa hapo hela kidogo kukununulia kitu ROHO INAMUUMA SANA nlimsoma, Nlimpa laki kama zawadi wakati tunarudi shoping ya vitu vyake tukapitia kununua icecream alikuwa anasita kutoa hela kununua akati me huwa namnunuliaga daily zawadi nkirud om.Afu eti anataka nimfungulie biashara kubwa akati nna akili zangu kichwani ni ivi siwezi fanya ivo japo nawish asingekuwa mbinafsi nimfanyie..... nnapanga kufungua akaunti za siri, Niwe naficha pesa zangu na kufanya biashara zangu maana me mwenyewe mbinafsi PUMBAAAAF MTAISOMA NAMBA
Usemayo Ni kweli kabisa,

Nna mwanamke wangu mmoja uyo, Ni mbinafsi wa kutupa.

Leo ndo tumerudiana baada ya wiki Juzi kuzinguana, vibaya mno.
Ananiomba Ela ya kuboost biashara yake afu eti ananiwekea na DEADLINE.

Na deadline line imefika,
Namweleza asubiri nitoke msibani, yeye analazimisha Ela itumwe Kwenye simu sikU Iyo iyo.

Anasema ikishindikana, ataenda kuomba msaada kwingine na nisije mlaumu.
(NMEMJIBU,
" Wee Nenda tu hata hainistui coz utakaoumia ni uchi wako na najua kwangu you are always after your something"

Na Tena anafoka eti,
Nimekua mwanaume asiyena msaada kwake kila anapokwama,

Ila
Anasahau kua hata Iyo biashara inayoleta chokochoko,
-wazo nimempa Mimi, baada ya kuchoka kua ananiomba omba Ela ovyo.
-mzigo wake wa kuanzia nmechangia Zaid ya 50%,
-Kodi ya fremu miezi 6 ya Kwanza nmemlipia mimi,
- anakonunua mzigo nmemuunganisha Mimi.
-usafirishaji wake, ushuru, clearance n.k kwa mizigo yake kila akiagiza nagharamia Mimi maana anaviziaga nnapoagiza mizigo yangu anaomba na yeye mzgo wake nimuunganishie. Kwaiyo hatoi hata Mia.

Yaani uyu kiumbe Hana shukrani kabisa,

Bad enough,
Afu alivoking'anizi eti anataka tuzae mtoto.

Kiukweli,
Nikifanya kosa la kumzalisha mwanamke kichwa box Kama huyu,

Ntakua nmeikosea Sana damu yangu kumchagulia mama MBINAFSI Kama uyu.
 
Kwani unadhani wanaosema mshahara wa mume Mil 1 + mshahara wa mke 3mil = 1mil wanatania.

Mwanamke kukuvumilia na kukulindia heshima uchumi ukiporomoka ni nadra sana.
 
Kwani unadhani wanaosema mshahara wa mume Mil 1 + mshahara wa mke 3mil = 1mil wanatania.

Mwanamke kukuvumilia na kukulindia heshima uchumi ukiporomoka ni nadra sana.

Wanawake wakukaa nyumbani na kupika baac. Akishakuwa na kikazi chake ni rahic sana kukupanda kichwani, baazi wanajitambu na kuona umuhimu wa mumewee.
 
Ndiyo sababu tuliooa wengi tunazuia fursa za kipato kikubwa kwa wake zetu kwa makusudi (ila kwa mbinu yeye asijue) kwani tunajua matokeo yake.

Wanawake waliowengi wakimzidi mwanaume kipato huharibu ndoa zao. Hivyo kama mwanaume unathamini ndoa yako huna budi kumdhibiti mkeo kwenye kipato chake la sivyo utaishia kupata maumivu makali.

Usiombe mkeo aanze kukudharau kwasababu ya kipato,, maumivu yake ni makali kiasi unaweza jimaliza.
 
Sawa ni mama zetu ila wanawake wana ROHO MBAYA SANA, mnaweza kulala njaa ndani (familia) ila mwanamke ana hela.
Unaweza kuhangaishwa na ka hela kadogo mpaka ukapata stress huku mkeo katoka kuvunja KIKOBA na anakusikia unavyojilalamisha kukosa hiyo elfu 50.Huku wewe ndie mtoa hela za marejesho ya hicho KIKOBA.
 
Back
Top Bottom