Ubinafsi,umimi wivu chanzo cha folen barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubinafsi,umimi wivu chanzo cha folen barabarani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 3, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Pengine tunawahukumu bure serikali kuhusu folen za kila siku za kwenda mjini na sehemu nyingine
  kuna mambo mengi kweli wanaitaji kufanya kuhusu miundo mbinu lakini kuna baadhi ya mambo tunaweza kuwasaidia
  kama sisi na yes we can..umewahi kujiuliza maana ya ubinafsi,wivu na umimi katika maissha yako

  ubinafsi
  watu wengi wamekuwa wanateswa na swala la ubinafsi yaani yeye anataka kuwa kama yeye
  hataaki mawazo ya mtu mwingine na kibaya mtu huyu anaishi maisha yake kibinafsi zaidi
  umeshawahikuona kuna mtaa wana magari zaidi ya 4 nyumba moja na si mbaya kuwa nayo
  mbaya ni kwenye matumizi unajua hata kama una hela ukitumia vibaya aina mana tena
  sasa katika magari hya manne baba anaondoka na lake mama na lake kuna la kuendea sokoni
  kuna ambalo wanaendea shamba ukiangalia haya magari yakiwa yote barabaran unataarajia nini??

  Nikupe mfano hapa karibu na mtaa wetu kuna nyumba zaidi ya sita zimefwatana kuna nyumba mbili zina magari
  matatu lakini ukiangalia asbh wakitoka wanafwatana mud mmoja na hata sehemu wanapoenda ni moja wengine
  wako azania bank nyumba mbili tofauti watu hawa wangesaidia kupunguza folen kama wangeamua siku fulan watoke
  na la huy wapeane lift same wakati wa kurudi...badala ya kutumia gari tatu tunakuwa na moja

  hata kama wengine amko kikazi seehemu moja kama wote mnaenda mjini kuna haja gani ya kutopena lift mpunguze wingi
  wa hewa chafu za magari ukiacha folen tunayaoteswa nayo...tujaribu kupendan unajua upendo sio mpaka upewe penzi hata
  mkipendana majiran siku anakuja mwizi ndugu yako wa kwanza ni huyo nakwambia kakako mkubwa mdogo alie madale anakuja kuwenda hospital
  moja kwa moja kama wamekujeruhi....jitahdini tupunguze misongamani jamani m nashukuru kwangu kuna space kubwa nina majiran wanapaki magari hapo watatu nimewaelekeza na mpaka sas mpaka tunafurahi kwanza mmoja akadai anaamka kuminamoja asbh anawahi ibada azania mwanzon ngumu lakini na sisi tumezoea tunawahi kama ayeye tunakula neno la mungu tunaanza kupasha kazi safwiii tukirudi tunapigiana simu easy tunarudi hme kama watu wa familia moja leo la huyu kesho la huyu lakini si kwamba tumeshindwa kuendesha yote la hasha tunappunguza msongamano,,2tunpunguza hewa chafu ya moshi ambayo kama ungeikosa wewe basi ndugu yako angeipata

  jifunzeni hili lianzie kwa wana jf
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Eeeeeeeh umesikia wapi hiyo ikitokea, Tanzania au nje ya Tanzania? Kila mwenye gari lake amenunua kwa malengo yake, siyo yale ya ujamaa ya kushare.

  Kwanza siku hizi ukimpa lift mtu ambaye humfahamu ndiye huyo huyo anakuibia vilivyoko kwenye seat ya nyuma, au wengine wanadiriki hata kukuibia na hilo gari lenyewe na kukudhuru. Sasa ya nini yote hayo na gari nimenunua kwa fedha zangu?

  Pili mimi nina mipangilio yangu ya safari ambayo ni tafauti na jirani yangu kwa hivyo sioni mantiki ya kushare gari.

  Nyiniyi endeleeni na kupunguza huo msongamano sisi tutapeta na gari zetu. Labda kama nyumbani tumetoka wakati mmoja au tunakwenda safari moja ndiyo tutabeba gari moja.
   
Loading...