Ubinadamu Wako

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
305
*Tujifunze Kusema "Aksante"*
Maana hapo ulipo si kwa ujanja wako bali Muumba wako.

Pia kile ulichonacho "Uhai",si chako bali umeazimwa.

Wakumbuke ndugu na rafiki waliosaidiana na wewe km binAdamu kufikia hapo ulipo.!

Usiruhusu Chuki na visasi vikutawale,kwani kama mtu hakukusaidia inawezkn hakuwa nacho au alighafirika kukusaidia ktk kipindi hicho ulichohitaji msaada wake(wao).

Jifunze kusamehe,kusahau na kuonesha upendo wa watu wote hta km unahic umewazidi mafanikio!

By Mjr
 
NOOOOOOOOOOOOOOO!Haiwezekani watu walionidharau kama mavi niwasamehe tena wengine wananifananisha na maiti wakati nikon hai.
Hakika sitoweza kusahau maneno haya;
"yule nae ana nini! si marehemu tu atanisaidia nini"
"kila nyani na mkia wake,atajua mwenyewe aukalie,aukunje au aukate"
 
Utampendaje muumba wako kama usipompenda jirani yako!!??
 
NOOOOOOOOOOOOOOO!Haiwezekani watu walionidharau kama mavi niwasamehe tena wengine wananifananisha na maiti wakati nikon hai.
Hakika sitoweza kusahau maneno haya;
"yule nae ana nini! si marehemu tu atanisaidia nini"
"kila nyani na mkia wake,atajua mwenyewe aukalie,aukunje au aukate"
7×70
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom