Ubinadamu ni kazi, kudai madeni inauma sana

Kudai dai mtu hiyo kitu kwangu huwa inanishinda napenda mtu awe anajiongeza mwenyewe bila kusumbuliwa.
 
kuna best ang sana 2 nlmpa 50000 aliniahd baada ya siku 7, zmeisha juz,jana ananambia atanipa ndan ya siku 2
 
mkopeshe mtu hela ambayo haitakuuma hata asipokulipa..

unampa hela kwa gia ya mkopo.. ila umwambii kama umempa.. ili hata asipokulipa usiumie sana
 
Back
Top Bottom