Uber inalipa?

brenda18

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,687
5,268
Habari zenu wakuu
Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi
Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache wamenishawishi nafikiria hivi karibuni nitafute mtu aingie mzigoni?
Wenye uzoefu nijuzeni faida na hasara? Wapi niwe makini nk
Asante, nitapita kusoma comments

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzoefu wa kupanda uber unaonyesha pengine ililipa mwanzo kwasasa madereva wanalalamika hazilipi tena, wengi wamerudisha magari. Faida kwa abiria hasara kwa madereva....
 
Habari zenu wakuu
Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi
Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache wamenishawishi nafikiria hivi karibuni nitafute mtu aingie mzigoni?
Wenye uzoefu nijuzeni faida na hasara? Wapi niwe makini nk
Asante, nitapita kusoma comments

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiendesha wewe nitakua nakuita kila siku

Anza kwa kutumia mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako badala ya petrol ndo utapata faida inayoeleweka. mfumo huo hautakugharim zaid ya mil 1.8.
 
Asante mkuu niliona sehemu maelezo kuhusiana na mfumo huu nilichukua number zao nitawatafuta
 
mfano tuseme unatumia IST ya makonda! kg 1 ya ges ni sh 1450 utatembea km 25-30. lakin petrol lita 1 sh 2400 utatembea km 10-12 hivi. huon uafueni wa kipato hapo. bado service unafanya kwa km nying km mara tatu ya matumiz ya petrol. bado unalinda mazingira. bado unatunza injini.
 
Back
Top Bottom