kweli akili yako MasaburiHupashwi kuwa JF,kama kweli this is the home of great thinkers.
Maendeleo vitu na maendeleo watu ni mambo mawili tofauti. Greece na nchi nyingi za ulaya zina mitazamo tofauti sana kuhusu kuinyonya Afrika. Wao wametengeneza kinachoitwa "soko la kimataifa" ambapo makuwadi wa ubepari husaidi kupeleka bidhaa kwenye hayo "masoko ya kimataifa". Lakini mchina kaamua yeye mwenyewe kuzifuata bidhaa (malighafi na masoko) Afrika. Jifunze kwa yanayotokea Sudan...sasa kama China ina maendeleo sana vipi hapa Bongo kuna wamachinga wa Kichina?
..Ulaya pamoja na matatizo yote bado hatujaona wamachinga toka Greece wakivamia Kariakoo.
..halafu hapo Somalia kwenye njaa China inatoa msaada kiasi gani?
Sidhani kama hakuna asiyeona hiyo " comparative advantages" ya hizo nchi hizo nyingine zinazojaribu kuujenga mfumo wa kibepari. Lakini ni lazima pia tukubali kwamba kila kitu lazima kiwe na " axis" yake, na kwa ubepari ni lazima uzitaje Marekani, uingereza, na ujerumani
Kumbuka kwamba ni US Dollar, Yen, Pound na Deutch Mark ndizo zinatumika kuweka vigezo vya thamani ya fedha nyingine duniani.
Marekani,Ujerumani,Uaransa,Uingereza.....hizi zote ni nchi za kijamaa zaidi ukilinganisha na,China,Urusi,Tanzania,Mozambique,Venezuela etc..Hata kama ukitumia Marekani, England, Germany, kustudy success and failure of market economy, lazima ujue ni capitalism ndiyo inazozifanya hizo nchi za BRICK, kuwa na comperative advantages. China walikuwa na communism, sasa hivi wanafaidika zaidi na hii system kwa sababu ya free trade. Lakini China haitakuwa na hiyo comperative advantages kwa muda mrefu kutokana na per capita yao kuanza kukua.
Sasa hivi kuna bidhaa nyengine zinatengezwa kwa wingi sana ktk nchi za Vietnam, nk. ambazo zinacheap labor zaidi kuliko China.
Kuanguka kwa uchumi wa Marekani kuna factors nyingi sana ambazo zimesababisha uchumi wao kuanguka.
Hii chati(wikipedia),inaonyesha Government revenue as a percentage of GDP...Sasa naomba wadau mtenganishe baina ya nchi mnazoziita za kijamaa na nchi mnazoziita za kibepari tuache u-masaburi tuangalie facts.
Marekani ni wajamaa kuliko Tanzania,China na nchi nyingi tu duniani.
Ungesoma maelezo hapo chini,I did explain!!Sasa hiyo ndiyo nini? Watu waliyoenda madrassah utawajua tu for their predisposition to rampant copying-and-pasting without feeling the need to explain anything further. Halafu hapo anajiona kachangia kitu cha maana.
Ungesoma maelezo hapo chini,I did explain!!
Kwa kiswahili,ni asilimia ya mapato ya serikali kulinganisha na mapato yote ya taifa.Kwa kuendelea zaidi,hiyo chati inaonyesha ukubwa wa serikali kiuchumi kulinganisha na sekta binafsi kwenye nchi husika.Tanzania kwa mfano,ni asilimia 12 tu ya uchumi wote ndio huenda serikalini kwa ajili ya matumizi mbalimbali kama elimu,afya,ulinzi,vitafunio n.k wakati asilimia 30 ya uchumi wa marekani humilikiwa na serikaLI AU TUSEME MAPATO YA SERIKALI NI ASILIMIA 30 NA SEKTA BINAFSI NI ASILIMIA 70.....Umeelewa bi mdogo?
Sasa unachozungumzia ni nini?Wapuuzi wanaojifanya "wameenda shule" kama wewe huwaga wanakimbilia takwimu. Sasa niambie, kweli unaweza kulinganisha Tanzania na nchi kama Marekani kwenye matumizi ya Serikali kwenye programs lukuki kama unemployment benefits, disability payouts, medicare, food stamps, social housing, debt consolidation, and whatnot? Tuambie equivalents za programs kama hizi Tanzania. Bi.tch Please!
Sasa unachozungumzia ni nini?
Mimi ninachozungumzia ni dhana ya kuwa China ni wajamaa au tuseme nchi kama za BRICK,ni nchi za kijamaa zaidi ya nchi kama tanzania au msumbiji au tuseme venezuela,nchi ambazo kwenye katiba zao wamejitambulisha kama ni socialist states.Ndio maana nikaonyesha hiyo table hapo juu.
Wether you have a lot of money or not,asilimia kubwa ya pato la taifa likihodhiwa na serikali,hapo ndio utasema hiyo nchi ni ya kijamaa eg Nordic countries...
Punguza mcheche kidogo, kaa chini utafakari dada!
Ndiyo!Wee jike, hiyo maana yako ya ubepari na ujamaa siyo tu kwamba ni batili, bali ni uwongo. Kwa kigezo chako, basi, ukubwa wa matumizi ya serikali kwenye bajeti ya ulinzi ya Marekani ukilinganisha na Tanzania, inaashiria kuwa Tanzania ni nchi ya kipebari, si ndiyo?
Ndiyo!
Numbers don't lie!!....sio mnatuletea vihotuba visivyo na msingi.Haya mdadangu, endelea na takwimu zako za Wiki...lol!
Numbers don't lie!!....sio mnatuletea vihotuba visivyo na msingi.
Huu ubishi inabidi uendelee, usiyeyushe....lete data.Cliches aside, nasema sawa mdadangu...lol!
Huu ubishi inabidi uendelee, usiyeyushe....lete data.
Narudi.Ajabu sana. Wewe ndiyo ulikuwa na jukumu la kuthibitisha kauli zako tata zilizoambatana na takwimu (aka "data") hafifu au feki. Lakini ghafla, bila ya kujibu mapigo yangu inavyotakiwa kisomi, na typical ya Watu waliyoenda madrassah, eti unajifanya "kunigeuzia kibao" wakati umeshindwa kujibu yale niliyoku-challenge. Whatta bi.tch!
Narudi.
United States Federal, State, and Local Government Spending Fiscal Year 2010 | ||
Function | Amount (billion) | Percent GDP |
Overall government spending | ||
Federal, State, Local | $5,798.8 | 39.97 (citation needed) |
Spending by major government function | ||
Pensions | $939.2 | 6.47 |
Health Care | $1028.8 | 7.09 |
Education | $887.3 | 6.12 |
Defense | $848.1 | 5.85 |
Welfare | $727.3 | 5.01 |
Interest | $296.3 | 2.04 |