SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
Kobello kweli wewe ni Ho Chi Minh, manake unampenda sana huyo mvietnam, umeweka avatar yake na sasa unaufagilia ujamaaMnachoshindwa kuelewa China ni mabepari kuliko US...jumla ya bidhaa made in China zinazonunuliwa US ni merely 2.7%.Na ni upotoshaji mkubwa ukisema China inahodhi 45% of US DEBT,ukweli ni only 8%,wamarekani wanahodhi asilimia kubwa ya deni lao.
Uchumi wa marekani unakua vizuri waki-implement socialistic policies,kuliko wakikumbatia capitalists policies.I got facts,ukiona uvivu kufuatilia I will be more than happy to copy and paste them.