Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,136
- 4,298
Mnamo mwaka 2004 gazeti la AN NUUR la tarehe 27 mwezi machi 2004 lilikuja na kichwa cha habari katika kurasa ya kwanza kilosomeka "UBEBERU WA MAREKANI BALAA DUNIANI: bangi,kokeini yafanywa mradi kuendesha ugaidi".
Habari hiyo iliandika kwa kirefu kuhusu mjadala ulofanyika ndani ya ukumbi wa STARLIGHT Dar es salamu na kuhudhuruwa na watu mbalimbali wakiwemo wanachuo,viongozi wa dini na wale wa serikali.
Katika mjadala huo Profesa Mamdani raia wa Uganda aishiye Marekani alielezea njama nyingi zinazofanya na Marekani.
Muhadhara huo ulikuwa na mada isimayo "GOOD MUSLIM,BAD MUSLIM:AMERICA,THE COLD WAR AND THE ROOT OF TERROR"
Wengi katika mjadala huo walipinga suala la Marekani kuja na mkakati wa kuwatambua waislamu wazuri na wabaya kwani katika mtazamo wa ukweli muislamu mzuri ni kwa mujibu wa muamerika ni yule anaekubali kuwa kibaraka wa muamerika.
Akitoa mfano wa hilo profesa mamduni alisema kuwa wakati wa vita vya Iran na Iraq,wairaq walionekana kuwa wazuri kwa kuwa walikubali yale wayatakayo wamerakani lakini leo muiraq kawa adui namba moja wamarekani.
Mpaka leo aliekuwa kibaraka wa muamerika Sadamu Husein alishanyongwa na kufia mbali,hiyo ndiyo Marekani.
Profesa Mamdani aliendelea kusema kuwa shirika la kijasusi la CIA lilihusika katika kuwapeleka Mamluki wauaji nchini Congo ambao walimuua waziri mkuu Patrice Lumumba na kuwapa nyenzo wauaji mbalimbali kama wale wa Nikaragua,Angola,Afghanistan na kwingineko.
Profesa Mamdani aliendelea kusema kuwa baada ya vita vya Vietnam,Marekani iliamua kutumia vibaraka zaidi kuliko wao huku ikiendelea kulaumiwa kwa wao (WAMAREKANI) kuunda mtandao wa Al qaida na leo wanapigana na mtandao walouunda wao wenyewe.
Akifafanu zaidi profesa Mamdani alisema kuwa CIA walisimamia ulimwaji wa bangi na kokeini kwa ajili wa mujahahidina walokuwa wakipambana na Mrusi alipovamia Afghanistan.
Habari hiyo ilikuwa ni ndefu na ninaomba kuishia hapa.