Mwanaume kuandika neno tyu haipendezi

Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
mimi nadhani watu wengi wanatumia hvy katika sms zao kwakua wakati mwingine mtu anakuwa very tired thats why anjibu kiufupi zaidi ingawa tunajua kabisa tunaaribu matumizi ya lugha hivyo hakuna jinsi ni kuvumiliana tu .......labda unaye tumiwa uwe haujaelewa unaweza uliza so tuone ni kawaida ndo utandawazi wenyewe umekuja na mambo mengi,ila tutambue ufupisho huo haujaaza leo ni muda mrefu nakumbuka nilivyo kuwa nasoma kuna walimu walikuwa wanaandika neno KTK ikiwa na maana KATIKA
 
Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
Wananikera sana hao viumbe wanaotumia hayo maneno mwisho wa siku wanaishia kutoa maneno ya shombo kama waimba taarabu na kuwa mashoga kabisa...

Mtu unajiita .. baby? khaaaa hayo mambo waachie wanawake.
 
mijitu mingine bwana,inahangaika ni vitu vidogo havina hata maana. Sasa kama mtu anapenda hivyo unampangia? komaa na hali yako
Swaga za kike mkuu hazima maana. Kwa mfano ww una sapoti midume kutoboa maskio au pua? wanawake wafanyeje sasa?
 
Ninasikitika sana na ongezeko la watu wa jinsi ya kiume wanavyoandika na kutumia maneno kama tyu!

Yako maneno mengi yenye kero kubwa mfano "xaxa" akimaanisha "sasa".

Hata hivyo kati ya maneno yote hilo la tyu linatia kichefu chefu sana.

Ama mimi ni mshamba mtu wa bara sifahamu kiswahili huenda yalishakubalika na BAKITA?
 
Kuna mda unaenda na upepo tu mkuu, wala unakuta hakuna tatizo lolote.
 
Au mwanaume kukujibu "inahuu"??
 
Vijana wa buku 2 sema ndio watoto wetu!
 
Kuna mda unaenda na upepo tu mkuu, wala unakuta hakuna tatizo lolote.
Mimi vibe la uandishi hutegemea na mtu ninayewasiliana nae , sasa ikiwa nataka kuchakata papuchi ya kadada kanakovaa yebo zenye manyoa au manundu na dela lazima niweke xaxa ili twende sawa.
Yeye : xaxa nikitoka chuo 2takutana town?
Mimi: xa xi ndiyo we ukifika nicheki
Yeye:🥰xoxoxo ...
Mimi : xoxoxoo . ..
Ukikutana na msabato pia unaenda nae jinsi anavyokwenda.
Lakini hii ni kwa jinsia ya kike tu! Mwanaume mwenzangu ukileta mambo ya xaxa na kublock fastaa .
 
Ninasikitika sana na ongezeko la watu wa jinsi ya kiume wanavyoandika na kutumia maneno kama tyu!
Yako maneno mengi yenye kero kubwa mfano "xaxa" akimaanisha "sasa".
Hata hivyo kati ya maneno yote hilo la tyu linatia kichefu chefu sana.

Ama mimi ni mshamba mtu wa bara sifahamu kiswahili huenda yalishakubalika na BAKITA?
Hadi kuandika. Hapana wanaume watakuw hawana amani sasa maana kila kitu fikra zinakupeleka huko.. In short hayo ni mawazo yako " tyuuu"
 
Mimi vibe la uandishi hutegemea na mtu ninayewasiliana nae , sasa ikiwa nataka kuchakata papuchi ya kadada kanakovaa yebo zenye manyoa au manundu na dela lazima niweke xaxa ili twende sawa.
Yeye : xaxa nikitoka chuo 2takutana town?
Mimi: xa xi ndiyo we ukifika nicheki
Yeye:🥰xoxoxo ...
Mimi : xoxoxoo . ..
Ukikutana na msabato pia unaenda nae jinsi anavyokwenda.
Lakini hii ni kwa jinsia ya kike tu! Mwanaume mwenzangu ukileta mambo ya xaxa na kublock fastaa .
Ukiona xaxa vaa kondom mkuu .
 
Mwanaume unaandikaje maneno haya "mmmh,jamani" bora ungezaliwa wa kike wahuni tukushone
 
Back
Top Bottom