Mwanaume kuandika neno tyu haipendezi

Lime ibuka hili neno mtaani lina sumbua mnoo unaweza kudhani ume zawadiwa dakika mia mbili na nane kwenda mitandao yote la hasha ni mwanaume kaku text ana omba muonane neno hilo ni " 208"

" Oya uko wapi 208?"
 
208 bas
 
Af unakuta dume zima lisipoandika text zake hivi linajiona lishamba kumbe
 
Back
Top Bottom