Ubaya wa kuchagua upande

KIBABU03

Member
Jun 13, 2016
8
8
By Kibabu03

Habari zenu wana JF.

Kitu ambacho nakiona kikiendelea miongoni mwa Watanzania wengi ni hili janga lakuchagua upande wakusapoti, mfno Chama tawala dhidi ya Vyama Pinzani.

Ukishachagua upande ni ngumu sana kuona mazuri ya upande ambao haujauchagua. mfno kama wew ni Mwana CHADEMA, ngumu sna kuona mazuri yanayofanywa na CCM, au kama Wew ni CCM ngumu sana kuona mazuri yanayofanywa na Wanaoisapoti CHADEMA, kama juhudi za Lissu, Nassari na wengine. Hii inatokana na ugonjwa huu mbaya wakuchagua upande na kuusapoti hata kwa mabaya yanayofanywa na upande unaosapoti.

ukiwa CCM kila analofanya Kiongoz wako wa CCM basi ni sahh na ni kama Malaika hakosei. vivyo hivyo ukiwa CHADEMA au chama kingine cha upinzan, basi wao muda wote wapo sahih na Utasapoti kila kitu.

huwa nafurah kuona mwana chama CCM, CHADEMA,ACT,UDP,CUF au vyama vingine anapokikosoa chama chake kinapofanya madudu. hawa watu ni wachache sana, wakati mwingine huitwa wasaliti. Pia huwa nafurah sana kuona Mwanachama wa CCM anasapot hoja ya Mwana CHADEMA yenye masirah kwa Taifa na Mwana CHADEMA akisapoti hoja ya mwanachama wa CCM yenye masirah kwa taifa. sisi ni wamoja na tunajenga Nyumba moja lakin muda wote tunagombaniana FITO.

Nchi kwanza vyama Baadae.

Jumamosi njema.

Asante !

Jumamosi njema na kwako pia
 
Huyo anaesema maendeleo hayana chama ndio huyo hataki kuona upinzania unadhani nwengine wanatakiwa kufanyaje ili kuonyesha hisia zao!!!
 
Toka nizaliwe kwa sasa naanza kuona naishi kwenye Taifa la hovyo sana unamfukuza muhongo na simbachawene kwa kashfa za matumizi mabovu ya ofisi za umma unamteua mnyeti kuwa mkuu wa mkoa kisa waliotoa habar wanatoka upande upi ndo mana kuna kiongoz mkubwa wa Taufa hili alihitaji sana kuombewa alishayajua matatizo yake.
 
Ni sahihi kabisa!
Kwa Mfano Mimi pamoja na kuwa nampinga Mh. Rais hili la kumteua DC aliedhibiti uharibifu wa Mazingira kwny Kingo za Mito kule Hai ulisababishwa na Mbowe kulima pembezoni Mwa Mto kuwa Mkuu wa Mkoa ni kitendo cha kupongezwa na wana Mazingira wote Duniani
 
Rubbish!
 
Ubaguzi na upendeleo unakwenda kasi sana,na kundi flani linaishi litakavyo wakati lingine linanyanyasika,kuna walio juu ya sheria na walio chini ya sheria
 
Ni sahihi kabisa!
Kwa Mfano Mimi pamoja na kuwa nampinga Mh. Rais hili la kumteua DC aliedhibiti uharibifu wa Mazingira kwny Kingo za Mito kule Hai ulisababishwa na Mbowe kulima pembezoni Mwa Mto kuwa Mkuu wa Mkoa ni kitendo cha kupongezwa na wana Mazingira wote Duniani

Ukiwa mtu mzima utaelewa.
 
Back
Top Bottom