Ubaya wa Corona huwa inaanza kutandika ngazi za juu, tuficheni tu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,184
Kule Iran ilianza kutandika wabunge kwanza hadi makamu wa rais, kule england na italy ni balaa wabunge mpaka mawaziri,Kule Uk imeanza kumtandika waziri wa Afya, kuna waziri mkuu kule Canada mkewe imemtandika its bad news

Kama kweli haujafika hapa tz ni jambo la kumshukuru mungu ila kama umefika na mnaficha ficha. ngojeni ukimpiga mmoja wenu mtafunguka wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huy
Kule Iran ilianza kutandika wabunge kwanza hadi makamu wa rais, kule england na italy ni balaa wabunge mpaka mawaziri, kuna waziri mkuu kule Canada mkewe imemtandika its bad news

Kama kweli haujafika hapa tz ni jambo la kumshukuru mungui ila kama umefika na mnaficha ficha. ngojeni ukimpiga mmoja wenu mtafunguka wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo mungui ndo nani?
 
Back
Top Bottom