Ubatizo huu ni wa moto sana usipunguze moto mkuu wangu wamulike hata hawa

DR.RWEYENDERA

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
404
386
Mheshimiwa , tumezoea kubatizwa kwa maji tena ya baridi mh,
Lakini tunaomba uwabatize hata hawa hapa,
1. February mauzi
2. One rizi kweteki
3. RICHman of MONDuli
4. Fred mayesu
5. Phiaso lion
6. Tobo ssuli
7. Kesheni mkiomba sifui
8. Anna hawakumbuki
9. Ndulue ngeche
10.manfree Bowen
11. Imba seti wa esikolow
12. Jamal masecurity wa tifuatifua
13. King ungeni mwirue
Wabatize hawa pia wanasubiri ubatizo wako
 
Mimi nimeyaelewa hayo majina. Lakini tatizo langu ni huo ubatizo. Huyo mtu aliyelianzisha anajua Roho Mtakatifu? Anazijua kazi za Roho Mtakatifu? Biblia inakataza kumdhihaki Roho Mtakatifu. Tusipende kujifanya tulijua neno la Mungu kumbe ni wasanii tu wenye kutska kufurahisha vikao. Shauri zenu
 
Mheshimiwa , tumezoea kubatizwa kwa maji tena ya baridi mh,
Lakini tunaomba uwabatize hata hawa hapa,
1. February mauzi
2. One rizi kweteki
3. RICHman of MONDuli
4. Fred mayesu
5. Phiaso lion
6. Tobo ssuli
7. Kesheni mkiomba sifui
8. Anna hawakumbuki
9. Ndulue ngeche
10.manfree Bowen
11. Imba seti wa esikolow
12. Jamal masecurity wa tifuatifua
13. King ungeni mwirue
Wabatize hawa pia wanasubiri ubatizo wako
Ninyi wasukuma geuzeni hii Nchi kama ya kwenu! Mungejua watu walivyo na hasira wala msinge leta mada kama hizi wakati huu.
 
Back
Top Bottom