UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

Sasa mkuu kulikuwa hakuna haja ya uzi kama ulitaka wote waamini uaminivyo.
Mbona nimeandika hapo chini bashiri kulingana na ubora wa timu shindanii sio mapenzi na ushabikii
 
Kwa waamuzi hawa hawa tunaowajua?

Kama mngekuwa mnafikiri vizuri mngeungana na mimi kuwashauri wachezaji wacheze kwa tahadhari waki focus mechi ya kaizer chief badala ya kujituma mechi hii ambapo kuna watu wamekusudia kuwavunja wachezaji wetu na mwisho inaishia mtu kupewa adhabu ya kufungiwa miezi mitatu tu huku akipokea mshahara kutoka kwa GSM
Kuna uwezekano mkubwa sana ikatokea. Kwa jinsi Morrison na Miquissone wanavyolazimishaga kuingia kwenye eneo la 18, na kwa uchezaji wa rafu wa beki ya Yanga, uwezekano ni mkubwa Simba wakapata penati, idadi yake sijui ila walau moja
 
Ingia link hii kama una account ya betpawa unaweza kushinda
 
Kwa waamuzi hawa hawa tunaowajua?

Kama mngekuwa mnafikiri vizuri mngeungana na mimi kuwashauri wachezaji wacheze kwa tahadhari waki focus mechi ya kaizer chief badala ya kujituma mechi hii ambapo kuna watu wamekusudia kuwavunja wachezaji wetu na mwisho inaishia mtu kupewa adhabu ya kufungiwa miezi mitatu tu huku akipokea mshahara kutoka kwa GSM
Mkuu hii mechi sio ya kukubali kupoteza wachezaji wanatakiwa waitolee macho kwa asilimia zote ni mechi muhimu mnoo ......baada ya game hii ndio tuwaze kuhusu hao Kaizer chiefs
 
Yanga ikiizungumzia Simba Sc inakwepa kabisa kujadili performance za timu na mwenendo wa matokeo ya games zilizopita. Maana yake wanategemea wataamkaje na zali
 
Yanga ikiizungumzia Simba Sc inakwepa kabisa kujadili performance za timu na mwenendo wa matokeo ya games zilizopita. Maana yake wanategemea wataamkaje na zali
Wanapenda sana hii "kaulii derby haitabiriki" au ile wanayoipenda hadi wachambuzi "Derby haingalii ubora wa timu kwa wakati huo"
 
Ndio ww ni kichaa, maana ww unataka watu watabiri utakavyo wewe sasa ww kama sio kichaa utakuwa nani?
Mkuu usipanick bwana ni namna tu kikosi cha simba kilivyo bora kila mtu anajua simba itashinda kilichobaki ni ushabiki tu
 
Back
Top Bottom