Ubashiri: Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Jumamosi

Diarra

Job Mwamnyeto Bangala

Djuma Aucho Sureboy Farid

Ntibazonkiza Mayele Feisal

Formation: 3-4-3
Weeeee tutakufa Djuma na Farid watakuwa na kazi kubwa sana ya kusaidia kwenye kiungo tukishambuliwa na kurudi kwenye flanks kupamdisha mashambulizi sijawahi muona Nabi akicheza hivyo asijaribu tutakufa
 
Atakayekuwa Anafanya Kazi Ya Kuongeza Nguvu Kwenye Eneo La Kiungo Wakati Wa Kukaba Ni Bangala Atafanya Eneo La Kiungo Kuwa Na DM Wawili Yeye Na Aucho Kisha Djuma Na Farid Wanarudi Kutengeneza Ukuta Wa Watu Wa Nne Nyuma, Baada Ya Kumiliki Mpira Bangala Anarudi Kutengeneza Ukuta Wa Mabeki Wa Tatu Na Akina Job Kisha Farid Na Djuma Wanapanda.
 
Simba keshacheza mechi kubwa za kimataifa. Hii ya kwenu ni kama anacheza tu na ihefu.Wenye mchecheto ni utopolo wanaotaka kuonesha umwamba wao mbele ya timu kubwa ya simba.
Hata Namungo wamecheza kimataifa na timu kubwa walioko nusu fainali afrika
 
Hii si mechi ya kujaribu ndugu mapemaaaa Bamgala akae kati na Aucho nyuma ni job na mwamnyeto mechi na namungo job alianzia benchi kwa khofu angeweza pata kadi ya 3 ya njano akaikosa dabi ndio maana aliingia dakika za mwisho kpnd presha imepungua hakuna sababu ya kumuanzisha benchi sijui hadi tuone kiungo imezidiwa ndio tufanye sub tutakuja kukimbiana taifa pale yanga huwa imara sana viungo 2 wa chini wawe Bangala na Aucho na kwa mechi ya jmosi ilivyomuhimu huwezi kuanza na mawinga wawili wote Saido sina tatzo nae ila huyu Moloko sijawahi kumuelewa kwenye dabi ni mzuri kwenye mechi zingine kikosi umekipanga vzr ila ningetani km Nabi angeua winga moja ili wale 3 iwe Saido,Fey na Sure nyuma kuna Bangala na Aucho kikosi hiki hata droo hawapati
Yap, mi Moloko simuamini kabisa
 
Hata Mimi Naunga Mkono Moloko Saiv Akae Tu Benchi Kwakweli Amekuwa Hana Impact Sijui Leo Kama Akipewa Nafasi Atafanya Nn
 
MECHI YA YANGA NA SIMBA TUMEICHUNGULIA TAYARI...

KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA SIMBA AFUNGWE... ATAKE ASITAKE...INSHAA ALLAAH...

Nabi ataanza na kikosi hiki Inshaa Allaah...

1. Diarra

2. Djuma shaban

3. Kibwana Shomari

4. Bangala

5. Mwamnyeto

6. Aucho

7. Moloko

8. Sureboy

9. Mayele

10. Feisal

11. Ntibazonkiza

4-2-3-1

Kama Mayele akibwanwa sana na ikionekana mpira katikati haikai(kiungo kikizidiwa na kina chama)...

Sub itaanza kwa:

Out: Sureboy

In: Dickson Job

(Hapa Job ataenda Kuwa CENTRE BACK na kumfanya BANGALA asogee mbele awe namba 6 na AUCHO katikati)

Out: Moloko

In: Ngushi

(Hapa itasaidia kuongeza nafasi za ufungaji - ambapo NGUSHI anaweza kucheza pembeni mpira ukiwa pembeni upande wa kulia... Na mpira ukiwa kushoto au katikati au hata kulia kwa Djuma shaban basi ataongeza washambuliaji wawili pale mbele yeye na MAYELE).

Au otherwise... Kama YANGA atakuwa anamiliki mchezo... Basi KOCHA ATAUA WINGA MOJA AMUINGIZE MAKAMBO ILI KUONGEZA STRIKERS. 4-4-2

SIMBA WAJIPANGE...
So close.. Job/sureboy

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom