Ubarikiwe!

Mbogela

JF-Expert Member
Jan 28, 2008
1,384
257
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Ijkpsqc_nhg"]http://www.youtube.com/watch?v=Ijkpsqc_nhg[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=E5IRura0hO8"]http://www.youtube.com/watch?v=E5IRura0hO8[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=w1NbFFMuIic"]http://www.youtube.com/watch?v=w1NbFFMuIic[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=52hfFVupq7E"]http://www.youtube.com/watch?v=52hfFVupq7E[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=_-y31pEabKo"]http://www.youtube.com/watch?v=_-y31pEabKo[/ame]

Bwana akuangazie Nuru za uso wake na kukupa Amani wiki hii yote.
 
Nawe ubarikiwe pia ingawa umependelea wadada tu na ukawaacha wakaka. Ina maana hakuna solo wanaume wanao imba nyimbo za Injili?
 
Nawe ubarikiwe pia ingawa umependelea wadada tu na ukawaacha wakaka. Ina maana hakuna solo wanaume wanao imba nyimbo za Injili?

Asante mkuu, kweli wapo akina Kaka wengi lakini wiki hii nilikuwa nimekuguswa na uimbaji wa akina Dada. Lakini jambo moja ambalo nadhani watu wengi mtakubaliana na mimi ni kuwa mziki wa Gospel unauza sana sasa hivi. Mimi nadhani wanauza kwasababu kwanza tungo zao zinagusa hisia za watu, alafu wanajituma sana, ukiangalia video zao hata kwenye majukwaa wanayo perfom lve utaona uwajibikaji wa hali ya juu. Ukiangalia uwajibikaji wao unaweza kuufananisha tu na ule wa waimbaji wa kongo, waimbaji wetu wa kada zingine kama Dansi na Bongo Flava nadhani wanatakiwa kujifunza kutoka kwa hawa.

Piq nawapenda kwa kujishusha sana kwao, Akina bahati Bukuku, Boniface Mwaitege etc wanaishi maisha ya kutojiona kama wanamuziki wa kada zingine, wapo tayari kushake hands na wapenzi wao barabarani. Lakini jambo moja ambalo najiuliza je ni sahihi waimbaji wa nyimbo za Injili kuhifadhi haki ya nyimbo zao, kwani mimi naona kufanya hivyo ni kuibana injili isitangazwe, unaposema haki zote zimehifadhiwa hurusiwi kunakili, kuuza, kugawa wala kuperfom wimbo au vido hii inamanisha nini??? nadhani neno la Mungu hakuma mwenye haki ya kulihifadhi.
 
asante sana mbogera ubarikiwe na bwana
Asante kwa kushukuru lakini ingekuokolea muda kwa kugonga hapo juu kwenhe hicho kitufe Kilichoandikwa THANKS kwi kwi kwi ! Ubarikiwe sana mama wa Kwanza. Mumeo ni Rais wa empire ipi?
 
Asante kwa kushukuru lakini ingekuokolea muda kwa kugonga hapo juu kwenhe hicho kitufe Kilichoandikwa THANKS kwi kwi kwi ! Ubarikiwe sana mama wa Kwanza. Mumeo ni Rais wa empire ipi?

sina hiana mpendwa nimegonga kote upendako
Mswati ndo my husband haha
 
sina hiana mpendwa nimegonga kote upendako
Mswati ndo my husband haha
Te he te he tehe Kama ni huyu king mswati III ninayemjua King of Swaziland Kingdom basi wewe utakuwa sio First lady, kwani mpaka mwaka 2002 nilipomtembelea kwenye jumba lake la ufalme akiwa na wanawake 10 sikumbuki kukuona pale, basi wewe utakuwa ni mke wa kuanzia 11, sasa je unastahili kuendelea kuitwa first lady? au wote mnashare hiyo title? Lakini mke wa king Mswati basi inabidi uwe queen maana yeye ni king.
 
Back
Top Bottom