Ubao MKUBWA hadi sasa unasomeka Bilioni 7.8 za bil Laiza

goukun wadey

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
241
284
Ubao mkubwa unasomeka 7.8b za Laiza, je ni sawa kwa Laiza au kwa Mnunuzi au kwa nchi? Natamani nijue zaidi nitafafanua; Tanzanit tangu ianze kuzalishwa ni zaidi ya miongo 5 na kiuhalisia itakuwa ni makilo kwa makilo kama sio matani yamezalishwa (kuvunwa) pale.

Sio shaka kwamba ukisikia Tanzanite imeporomoka bei duniani tafsiri yake ni kwamba imezalishwa kwa wingi kutoka Mererani tz pekee, kuna Migodi na wachimbaji wadogo na wakubwa pale kwa miongo yote hiyo, kuna makampuni makubwa na madogo muda wote huo, kuna wanunuzi wadogo na wakubwa miongo yote hiyo.

Hili bango kubwa hivi limetokana na ukubwa wa mawe yale? Limetokana mchimbaji mdogo yule? Limetokana na bei aliyolipwa (faida) au bei aliyolipwa (kupunjwa)? Bango lile ni kwa sababu ya ubora (quality) mawe yale? Bango lile ni kwa sababu ya muuzaji ni dhaifu au mnunuzi dhaifu? Kwa bango lile kunaleta mwanga kwamba au kunafubaza?.

Je, tutegemee sasa kwamba Tanzanite imepata mnunuzi asiye shaka? Hakujatokea uzalishaji mkubwa kuliko huo? Je KUNA KAULIMBUKENI?

Kabla ya Laiza hakuna waliopata au kuwa na mab.7+ na hawaja wekewa UBAO mkubwa hivi?

Ni tafakuri kama unawaza kama mimi una majibu au hii nini
 
Kama mchangiaji angechukua aya mmoja moja au mbili hivi, tungefika pazuri sana na huu uzi. Mfano; je hakuna waliowahi kuzalisha mawe ya zaidi pale? Majibu ni kwamba wapo. Kwa nini hatukuona bango lile. au mnunuzi huyu alishawahi kununua pengine? Majibu hakuna au hatujui.
 
Kama mchangiaji angechukua aya mmoja moja au mbili hivi, tungefika pazuri sana na huu uzi. Mfano; je hakuna waliowahi kuzalisha mawe ya zaidi pale? Majibu ni kwamba wapo. Kwa nini hatukuona bango lile. au mnunuzi huyu alishawahi kununua pengine? Majibu hakuna au hatujui.

Hapo kwenye andishi lako unaona kuna aya?
 
Back
Top Bottom