Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,275
Tena subiria bungeni tupate 2/3 mtafurahi sana na huyo Mmarekani wenuMchina huyu huyu mliomnyima kujenga bandari bagamoyo???!
Alafu unamsema mrusi yupi??? Huyu ambaye kachakaa kiuchumi na hana military installations Africa Mashariki???
Hujui Hapo Mombasa na Djibouti Mmarekani ameweka military installations na bases za kutisha??? Unajua kwa juu tu pale kuna mshirika no 1 wa Marekani duniani Taifa la Mungu Israel???
Nadhani unahadithiwa tu juu ya Marekani. Hawajui vizuri!
Kibaha, Pwani: Uwekaji wa jiwe la msingi Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere