Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

chadema hamtaamini kitakacho tokea mwisho wa hili sakata, lazima jpm awa prove wrong eu na wote wanaoiwazia mabaya nchi yetu. Nchi hii ina Mungu ndugu zangu tofauti na tunavyo dhani, tumekwepa mengi sana yaliyokua yanafikiliwa km yangetuvuruga kabisa lakini tumevuka na chadema mkiwa mashahidi lakini bado hamjifunzi kuweka akiba ya maneno
Huyo ni mtuhumiwa mtarajiwa wa ICC. File lake lipo pazuri sana na jiandaeni tu na iyo nyundo
 
Kwa iyo kwa akili yako unafikiri walijadili ili iweje??? Hujui kuwa kamati zinapelekaga mapendekezo bungeni kwa ajili ya bunge kufanya maazimio????

Una elimu gani we mtu??? Au unashabikia tu siasa na hujui mifumo ya kisiasa inavyofanya kazi???
Sasa azimio si kinaweza kukataliwa au kukubaliwa?

Na kwa hiyo hizo kamati zilipopeleka mapendekezo hilo bunge limekuja na azimio gani?
 
Sala
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Salary kama unawahudu wazungu kiasi hicho hadi kutweza utu wako ni kwa nini usiende ukaolewe nao hao wazungu ili roho yako itulie?

Kila kiumbe humu duniani kina umuhimu wake, hivyo ni wazi pia wazungu wanahitaji uwepo wetu sisi ili nao waweze eidha kututumikisha au kutudhalau kama mnavyopenda, lakinu kwa vile sisi pia tuna akili ni wajibu wetu pia kuonfika kwenye h8zo dharau.

Sasa wewe na Lisu kila siku wazungu wazungu, mwenzako keshatangulia na wewe mfuate huko mkapambane na mabomba ya wazungu ya kutoa maji machafu, mtuache sisi tupambane nao ili tusimame nao wima kutafuta usawa.
 
Sasa azimio si kinaweza kukataliwa au kukubaliwa?

Na kwa hiyo hizo kamati zilipopeleka mapendekezo hilo bunge limekuja na azimio gani?
Kwa iyo unadhani lile bunge ni kama la Ndugai kwamba linaweza kataa maoendekezo konki ya ile kamati??? Subirini sasa muone
 
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Mbali na neno Beberu
Huwa tunatumia neno Mabunyenye kuwazungunzia wao
 
Umoja wa mabeberu haujafuta misaada?
Ingawa mnabeza hao wahisani sometimes kuitwa mabeberu lakini naamini mnaelewa uhalisia. Bado tunawahitaji wahisani kupiga hatua lakini upande wa pili misaada yao inaambatana na mambo mengi ambayo yana mlengo wa kibeberu ndio maana kila utachofanya ambacho hawafurahii watakuchapia misaada yao.

Mfano ni Stigler Golge ambayo imepigwa vita mashirika makubwa dunia ya mazingira na hata nchi wanachama kutishia kusitisha baadhi ya misaada! Na wengine kuhujumu tusipate mikopo! Huu ndio kibeberu, hawataki hatua zetu za kudumu za kujitegemea!

Wanataka uendelee kuwategemea. Sasa ni lazima wananchi waeleweshwe hasa kipindi hiki tunapotekeleza miradi mikubwa ambayo haiwafurahi hawa wakubwa. Lakini kwavile tumeamua kila kitu kuwa siasa basi hata lengo la matumizi ya neno mabeberu mtaligeuza! Ila ni neno limetumika toka uhuru tukisaidiwa na marafiki wa kweli.
 
Mbona balozi anaongea kwa hisia sana? Mm nilidhani hayo mamisaada hatuyahitaji tena maana sisi ni dona kantri.

Kama sisi sio dona kantri kwa nn wanasiasa wanatudanganya?
 
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.

Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.

Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii

Zaidi soma:

View attachment 1630332
Propoganda yako balozi ni failure.

Tambua kuwa;
1. Kamati ndiyo bunge

2. Si rahisi wajumbe wote kupata muda wa kuchangia mada moja.

3. Umeshindwa kutuambia ni wajumbe wangapi kati ya hao 71 wameisemea vizuri Tanzania?

5. Umesema umoja wa ulaya hautoi hizo 1.6t, then unasema hizo pesa umoja wa ulaya wanazitoa na zinaendelea kutolewa.....which is which?

6. Ujatuambia kwanini mlichukua pesa za kupambana na COVID-19 wakati nchi ni free from corona, na mmezifanyia nini hizo pesa?

7. Huku tunaaminiswa kuwa nchi hizo ni MABEBERU wenye nia mbaya nasi, kwanini wewe unasema mna uhusiano nao mzuri?

Mpropoganda huwa hazifanywi hivyo balozi!

Jipange.
 
Kama wakoloni wangekuwa wanaanza kuitawala Afrika wakati huu hapa Tanzania wasingepata upinzani wowote! Haki ya Mungu watu wamejichoka wenyewe kwa mujibu wa michango ya JF
 
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.

Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.

Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii

Zaidi soma:

View attachment 1630332
Ingependeza na kuaminika zaidi kama hayo yangesemwa na Ubalozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini lakini kutolewa na Balozi wetu, muunga juhudi, nchini kwa mabeberu inatia shaka. Awamu hii ni kukanusha kila kitu!
 
Kamati baada ya kutoa mapendekezo juu ya Tanzania basi kitakachofuata kwa Bunge zima ni kupitsha maazimio juu ya hatma ya nchi yetu. Sasa ndugu Balozi weka akaba ya maneno, hujui azimio litakuja vipi? usije ukajificha chini ya meza baadaye.

Kifupi mmeichafua sana nchi yetu .. tunanekana watu tusio straabika (uncivilized) mbele ya macho ya Jumuia hizi za kimataifa. Kurudisha uaminifu na heshima yetu hii itakuwa ni kazi ngumu mno.
 
Wazungu tunawategemea ila kutwa kuwasimanga kwa kuwaita mabeberu! Kuweni na shukurani na sio kuleta kejeli na dharau huku watu wenyewe sisi ni tegemezi.

Kwa jinsi tunavyowakejeli, wazungu hawa wangekuwa na mavichwa kama yetu, hata hiyo misaada na mikopo wangeshaisitisha, ila wamegundua baadhi ya watu wetu ni wajinga na wameamua kuwapuuza ili kusaidia masikini wa hii nchi wasio na hatia.

Isitoshe kwa hapa JF, uzi uliopo unaongelea kamati na si Bunge zima.

Alafu elezeni pia mlikopeleka hela za Covid.

Sisi tunasubiri taarifa rasimi ya hilo Bunge ila mpaka sasa teyari ni aibu tosha kwani hatukwahi kuwa na status mbovu na mbaya kiasi hiki.

Awamu hii ni shida tupu!

No wonder hata JK aliwahi sema watu waache "kujimwambafai."
Mwambie Mr Mzungu awe na shukrani kwa nchi yake, aache kujimwambafai; vinginevyo ataendelea kushindwa uchaguzi kila msimu wa uchaguzi na kukimbilia kwa Bob Amsterdam.
 
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.

Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna azimio lolote lililowekwa dhidi ya Tanzania na Kamati hiyo. Imeelezwa kuwa Mbunge yeyote anaweza kutoa mawazo yake binafsi na na siyo kila wazo binafsi la Mbunge ni azimio la Bunge.

Bunge lote la Ulaya lina wabunge 705 na waliotoa mawazo yao binafsi walikuwa ni wabunge watano (5) tu. S
Sikiliza clip hii

Zaidi soma:

sawa, Muda utanena.
Tumalize mtori nyama zipo chini.
 
Back
Top Bottom