Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini Wapinga Uchaguzi Mkuu Kufutwa Zanzi

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
666
421
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya Uchaguzi kisiwani Zanzibar.

Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.
Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila kuchelewa.
----------------------------
PRESS STATEMENT
Thursday 29 October, 2015
United Kingdom statement on Zanzibar elections
The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on ZEC to resume the results tabulation process without delay.

We congratulate the people of United Republic of Tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections.We call on all political actors to seek a solution which respects the will of the Zanzibari people as expressed in the polls on 25 October.

The United Republic of Tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all Zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.

ubalozi wa uingereza nchini tanzania pamoja na ireland kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya uchaguzi kisiwani zanzibar.

Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.
Wameitaka tume ya uchaguzi kiswani zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila kuchelewa.
----------------------------
press statement
thursday 29 october, 2015
united kingdom statement on zanzibar elections
the united kingdom of great britain and northern ireland is deeply concerned by the announcement of the chairman of the zanzibar electoral commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on zec to resume the results tabulation process without delay.

We congratulate the people of united republic of tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections.we call on all political actors to seek a solution which respects the will of the zanzibari people as expressed in the polls on 25 october.

The united republic of tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.
jumuia za kimataifa hakuna wakati muhimu zaidi kama huu hapa tanzania..tunawahitaji na tusaidieni....hawa manyang'au wanakodolea macho kutaka kuharibu demokcrasia kwa makusudi.hii si haki na ni kinyume na haki za binadamu
 
Hatua ya kwanza imekwishakamilika. Sasa mawakala, watazamaji na polisi wanakwenda kujumlisha ili kujiridhisha kabla ya mshindi kutangazwa.

Rais mtarajiwa Pombe Magufuli atatangazwa rasmi hivi punde.
 
Ulivo kenge unaamini kabisa hii taarifa ya kimataifa iliyotelewa na ubalozi wa uingereza na Northern Ireland
 
Zile barua mnazowaandikia wanachama wa chadema kuwafukuza uanachama.mmezoea sasa mnaleta utani mpaka kwenye mambo mazito. Leteni saini ya Mh.balozi aliyetoa tamko hili.msitufanye watanzania wot.e mafala kama nyie.
 
Atangazwe tu Rais Mtukufu wa Tanganyika..
 
Hii imekuwa ni aibu kubwa kwa Rais nunda Jakaya Kikwete ambaye ili kuhakikisha chama hakimfii mikononi mwake, anatumia kila hila kuhalalisha matokeo ya kukibeba chama chake CCM. Lakini wananchi wameona, mataifa yameshuhudia uovu huu ukitendeka mbele ya macho ya waangalizi wa kimataifa. So ataificha wapi sura yake? Amekuwa msuluhishi wa amani wa mataifa mengine lakini kwake mwenyewe anahatarisha amani iliyopo.
 
Kwani ulikuwa ni uchaguzi wa uigereza au ireland huu???? Pili walitoa hatra hela kufund uchaguzi huu??? Tena wameipata sana kwa sababu uchaguzi huu Tanzania imefanya kwa fedha za ndani tu.
 
inakera sana,mamlaka ya kufutwa uchaguzi yapo juuya zec hivyo haipaswi kuingiliwa na mtu hata moja,sasa nashangaa watu wanajifanya wanajua zaidi ya zec
 
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya Uchaguzi kisiwani Zanzibar.

Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.
Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila kuchelewa.
----------------------------
PRESS STATEMENT
Thursday 29 October, 2015
United Kingdom statement on Zanzibar elections
The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on ZEC to resume the results tabulation process without delay.

We congratulate the people of United Republic of Tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections.We call on all political actors to seek a solution which respects the will of the Zanzibari people as expressed in the polls on 25 October.

The United Republic of Tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all Zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.

wao ni wakina nani!? c wana nchi zao!? tumesha wahi kuingilia siasa zao!? wapeleke upuuzi wao wa kinyonyaji huko kama walihongwa na mamvi wamedunda
 
Ulivo kenge unaamini kabisa hii taarifa ya kimataifa iliyotelewa na ubalozi wa uingereza na Northern Ireland

Zile barua mnazowaandikia wanachama wa chadema kuwafukuza uanachama.mmezoea sasa mnaleta utani mpaka kwenye mambo mazito. Leteni saini ya Mh.balozi aliyetoa tamko hili.msitufanye watanzania wot.e mafala kama nyie.

Kwani ulikuwa ni uchaguzi wa uigereza au ireland huu???? Pili walitoa hatra hela kufund uchaguzi huu??? Tena wameipata sana kwa sababu uchaguzi huu Tanzania imefanya kwa fedha za ndani tu.
Hivi sifa ya kuwa mshabiki wa ccm ni lazima kichwani uwe umejaa makamasi?

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 12065730_1143851572311018_5217836405099855885_n.jpg
    12065730_1143851572311018_5217836405099855885_n.jpg
    61.4 KB · Views: 542
  • DSC03905_thumb[3].jpg
    DSC03905_thumb[3].jpg
    48 KB · Views: 544
Back
Top Bottom