Ubalozi wa Thailand, Very Urgent

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
318
196
Naomba kufahamishwa huu Ubalozi wa Thailand upo wapi kwa hapa Dar es Salaam?

Asanteni.
 
Mkuu sijajua kama hawa jamaa wana ubalozi hapa Bongo. Ninachojua wanaubalozi Kenya. kama na hapa bongo wapo itakua vizuri zaidi. mia
 
Back
Top Bottom