Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
3,712
2,000
balozi zetu zote ni vituko, tofauti kabisa na balozi za wenzetu. unajua kwamfano mmarekani akija hapa tz akaamua kutembelea ubalozi wake, treatment anayopewa ni nzuri ila mbongo ukiwa nje ukatembelea ubalozi wetu wowote ule, cha kwanza wanakuona kama umeenda pale kuomba msaada labda maisha yamekupiga, wanaanza kujidistance awali kabisa wakikuona.

niliwahi kutembelea ubalozi mmoja hivi tena nikiwa mwanafunzi,nina hela yangu na sikwenda pale kuomba hela ila kuongewa tu mhuri kwenye nyaraka fulani ambayo ilitakiwa nirudi nigongewe bongo, nikasema niende tu ubalozini hapa wanigongee...nilihisi kama mtu akipata tatizo bora ukimbilie ubalozi wa mzungu kuliko ubalozi wao.

hawa madiplomat wetu wanatakiwa wafundishwe kabla hawajaenda huko wajue wameenda huko kwa kodi zetu na ndizo zinazowalipa mishahara. over.
Nilishaujua huo ubalozi.....Kuna dogo aliwahi kwenda kujisalimisha ubalozi wa UK in the name of Common Wealth na akasaidiwa.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 

King klax

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
3,864
2,000
Wa kulaumiwa ni hawa ndugu zangu yaani wamepoteza alama ya uongozi,, kwa sasa imekuwa kama kupewa uongozi kama fadhila fulani au sehemu ya asante ya CCM,,
Jamani tusipokuwa makini na ndugu twafwaaaaa!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom