Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Rushwa ipi, acheni uchawa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimenyima haki yangu ya Mirathi kwa sababu ya Rushwa na Mwenyekiti wa Baraza la Aridhi na Nyumba mwezi uliopita kwa sababu tu ya Rushwa! Natamani takukuru wachunguze hukumu zake, inaonekana anawaaumiza wengi sana! Wwe Mwenyekiti wa Baraza la Aridhi la Wilaya anaendesha li gari likubwa Kama alfadi,kwa Nini asituumize ili amantain status! Nami namuomba Mungu amlete kwangu ili nimuone tu kwa ukaribu sana!!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wamesahau kuweka picha ya mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Magufuli.
Napinga kuiita hii kuwa ni "kashfa". Ni kashfa vipi? Kwani Magufuli alikuwa askofu?Ingekuwa Askofu Kilaini ana secret wife huko Nairobi hilo lingekuwa jambo lingine, ingekuwa seven day wonder.
Yule Magufuli ni mlei, ameenda Hoteli Nairobi ameulizwa,"Mheshimiwa, unataka demu?".(Usually huwa wanasema,"kati ya wale pale,sema unamtaka yupi tukuletee? We mtu mkubwa,bwana,sema tu unamtaka yupi tutakuletea '
Au watakupeleka kwenye darasa la wasichana uwasalimu(and this is quite true) halafu ukitoka mule ndani watakuuliza,"Yupo msichana yoyote pale anekupendeza tumlete?"
 
Tanzania haijawahi kuwa na Rais muasherati hata siku moja.
 
Wamesahau kuweka picha ya mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Magufuli.
Napinga kuiita hii kuwa ni "kashfa". Ni kashfa vipi? Kwani Magufuli alikuwa askofu?Ingekuwa Askofu Kilaini ana secret wife huko Nairobi hilo lingekuwa jambo lingine, ingekuwa seven day wonder.
Yule Magufuli ni mlei, ameenda Hoteli Nairobi ameulizwa,"Mheshimiwa, unataka demu?".
Huu ni uongo mkuu. Tanzania ipo makini sana linapokuja suala la kuchagua watu kuwa viongozi waandamizi. Ufuska kwa viongozi wetu hakuna hata siku moja.
 
Magufuli alikuwa anakumbatia watoto kwenye kadamnasi,"We mtoto,ilikuwa unataka kuuliza nini? Njoo hapa. Njoo tu. Mwachie she. Njoo hapa mtoto mzuri. Una swali gani?"
What I am saying ni kwamba watu hawatakiwi kubanwabanwa,ama sivyo watafanya mambo ya nature kwenye kadamnasi au kwenye cocktail party.
 
Weka picha tuone mkuu
 
Back
Top Bottom